Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #101
Nionyeshe neno ‘mashtaka’ kwenye nilichokiandika, tafadhali….Mkuu inawezakana upo sahihi lakini binafsi sijawahi kuona jeneza linasomewa mashitaka kizimbani.
Wee tayari washakuminya kende, na kufuta uzi huwezi.Nionyeshe neno ‘mashtaka’ kwenye nilichokiandika, tafadhali….
😂😂😂😂😂 wee sio NN na H.😹😹😹 Kwahiyo hao wote wako kwenye mchuano wanakugombania??
Awwwww udugu umeweza 🤣
Udugu una nyota kali, mganga wako sio tapeli km wa Simba..!!
Nimeipenda hiiWewe nae zutwa ety ???
Tuache pisi zakina mengero , zakina nani nani hapa bongo poooote uende ukaforce kipindi kwa bibi wa myaka sixty something. ???
We nae unashida wewe... Rais anaweza agiza pisi za kinyarwanda, sudani, Emirates huko na za kibongo hapa hapa. Analetewa pisi nyoofu Safi ....
Mbunye imepimwa na ni salama hata kwa kinywa... Af uanze kusema mze aliforce kipindi kwa bibi ???
Acha kuwa unafanganyika na ma psychopass .
Alaf Ben saa nane auliwie ikulu. Guyz ivi nguvu ya rais unaijua wewe ??? Yani hapo ulipo anauwezo wa kukuzima hapo hapo ulipo bila kuupeleka nje ya mtaa wako. Na pasiwepo wa kuja kujua ulienda wapi mpaka hii Dunia tufufuliwe ndo useme walikufanya Nini wakakuweka wapi.
Logic ya kitabu kile ni ndogo Sana hata watu wa Chadema wameigomea .
We Rudi kasome historia namna watu hupotezwa acha uvivu.
Kile kitabu ni upuuzi upuuzi wa kufikiria hapa na pale tu.
(Hatusemi Magu alikuwa matakatifu Ila acha kuamini ma psychopass mjomba)
😹😹😹 Naijua hiyo..!!😂😂😂😂😂 wee sio NN na H.
Ni wengine bhana, usichanganye mambo nawee. Lol
😂😂😂😂😂😹😹😹 Naijua hiyo..!!
Unajifanya sungura unazuga?🤣
Usinichoshe shemeji tunaye na tunatamba naye oyoooooo..!!
😂😂😂😂😂😂Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Ni kweli kabisa mkuu hatupo serious wewe ukiwa mmoja waoNasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.
Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.
Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?
Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!
Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.
Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.
Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.
Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.
Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Nimeipenda hii
Watu wamedharau kwakuwa ni upuuzi mtupu
Kwahiyo next time Watanzania tupewe kongole kwa kutoupa upuuzi kipaumbele
Wapi nimeandika neno ‘mashtaka’?Wee tayari washakuminya kende, na kufuta uzi huwezi.
Hii nchi ngumu sana
Huu ndio upuuzi aliouandika mleta mada ishu serious we unaleta upumbavu wako sijui baby sijui insta upumbavu mtupu😂😂😂😂😂
Afu ujue nimechanganya madesa, kuna kitu nafanya hapa, bas nayatindinganyaa, ngoja NN anifurusheee..
Vidampaa wa JF wote wako kichwani 🔥🔥.
Wa insta ndo vizibo na visoda tyuuh.
Tumepewa elimu duni ya kikoloni unategemea nini mkuu.Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa ambayo inadaiwa aliyatenda akiwa madarakani.
Tuhuma nzito kuliko zote ni yeye [Rais Magufuli] kumuua Ben Saanane ikulu ya Dar es Salaam na yeye kutaka kumbaka makamu wake, ambaye ndo Rais wa sasa.
Hivi inawezekanaje tuhuma nzito kama hizo zipite tu kama upepo unaoambatana na mvua halafu mvua ikikatika, na upepo huo unaisha?
Jawabu pekee ninalolipata ni kwamba sisi hatuko serious na jambo lolote lile, hata liwe kubwa au liwe la maana kwa kiasi gani!
Si vyombo vya habari [mainstream media] si serikali, hakuna aliyezifuatiliq tuhuma hizo ili kujua lipi ni lipi.
Sasa hivi suala zima la hicho kitabu limeshakuwa maji chini ya daraja.
Hakuna tena anayejali kuujua ukweli. Hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa naye yuko kimya tu.
Ila ikija kwenye suala la CHADEMA na shughuli zao, analihutubia taifa!
Navuta taswira hapa kama ingekuwa ndo Joe Biden katuhumiwa kutaka kumbaka Kamala Harris.
Hakuna chombo cha habari cha Marekani ambacho kisingefanya uchunguzi wa madai hayo.
Utovu wetu wa kutokuwa serious na chochote kile ndo umepelekea hadi hivi sasa kutokuwa na katiba mpya wala tume huru [ya kweli] ya uchaguzi.
Alisemaga Mzee FMES [maarufu kwa wengine kama Le Mutuz] kuwa viongozi wetu wanaakisi tu aina ya jinsi ambavyo wananchi walivyo.
Alikuwa sahihi kwa 💯%.
Ww?
Kwa comment hii,na wewe hupo serious.Unataka research gani, hata hapa JF hesabia tu wanaoandika utumbo, hasa CCM, kama Kipara Kipyaa, Tlaatlaa, Lucas etc etc------ hao ndiyo wanawakilisha watawala
Kwa comment hii,you are also not serious.1. Sijasema kuwa Watanzania wote hatupo serious.
2. Sihitaji kufanya utafiti kuthibitisha kuwa Watanzania hatupo serious.
😂😂😂😂 mabwakuHuu ndio upuuzi aliouandika mleta mada ishu serious we unaleta upumbavu wako sijui baby sijui insta upumbavu mtupu
Mkuu sio kama hawapo na unajua kama wapoMkuu Tanzania haina waandishi wa habari. Hivi huyu Ayo ni mwandishi? Na wengi wako kama yeye. Eti Chief Odemba ndiyo kiboko wa mahojiano! Watu kama hawa ndiyo wa kuchunguza mambo?
Yaani mi ndio maana nasema wakina tundu Lissu eti wana pambania maiti zinazo tembea mi ningepata nafasi ya kupata free kuwa Nchi nyingine sijui kama ningekumbuka kama nami ni miongoni kwa Mtanzania.Uwaambie Simba na Yanga watashupaza shingo mpk ngumi ila sio vitu vya msingi..!!