Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kunywa either wine au spirits. Mimi sio regular kabisa ila k-vant nikiwa na kiu/stress zangu au smirnoff ice au wine kibingwa sana.

Mibia siikubali hata kidogo, kitu gani mtu anaweza kunywa crate nzima, wastage of time.
K vant inaleta njaa balaa unaweza tafuna karatasi wakati unasubiria pakuche, ila ni nzuri.
 
Kumbe JF napo ni kama ofisini kwangu tu ila
NOTE THIS
These are not physical intimacy,kwani hata sijawahi kukuona ila for sure nakupenda sana bibie,ask me why?
Kwanini unanipenda ( uhindi flani hivi hivi kuch kuch au sio 😹)
 
Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi 🥰
Kapime sukari, usikute una sukari ila haujijuwi tu.
 
Back
Top Bottom