Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Ule wimbo unaimba haufai kanisani, haufai msikitini wa kilabuni
 
Pole kijana hii ni madhara ya malezi mabovu hii sio shida yako wala, pole mwaya..... Siku moja utakua poa. Ulale sasa bye
Unakuta wengine mazingira ama malezi waliyolelewa ndio yanaakisi ukubwani, yaani hakuna namna walipandikizwa hizi mbegu saivi ni matunda, yaani yeye Kama yeye hana shida, yaani magugu maji kuota ziwani sema ndio yameumbwa ivyo. Kumbe una uelewa mkubwa, yaani hata mtu anayetukana matusi ndio akafundishwa ivyo ama kaanza kuyasikia matusi akiwa mdogo mno akayazoea anajua lugha za kawaida zinazotumiwa na watu.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€naichukia iyo wine jamani looohπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ile booster unawaka chap mara moja.
Ubaya wake imeongezwa ukali, imechanganywa na spirit (pombe kali). i.e It is fortified.
Imekuwa ya kiume zaidi kwa wadada unaonekana mgumu ukionekana unaifakamia.
 
Pole nikupendae....... Pombe tamu jamani yaani kunywa soda ni kujilazimisha tu,mtaani kwangu huniita DDO(Daily Drinking Officer)🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Habari za saizi DDO cheo kikubwa kabisa hiki..😊😊😊☺️
 
Kuna muda Leo nilikua nasikiliza you tube kipindi Cha THE CLASSIC Cha EFM juma natura... Anasema alianza kunywa GONGO akiwa na miaka 14_18
GONGO ilimsaidia Sanaa kuwa na vibe na kuweza kutoa NGOMA zake kwa Hali ya juu..
 
Bro ameacha bia.. hajaacha pombe πŸ˜…

Mi naweza kuacha kila kitu, hata kujiacha mwenyewe naweza. My detachment game is very strong.

Njoo tupige kvant huku tunaujadili mtaala mpya🀣🀣

Bro bia mbili unapiga trip za toi? Pombe ishaanza kukataa, wenzio tunapiga kreti na tuko fit…!!
Sponsor anaanza kulewa yeye unaamua kumuitia boda awahi kwake 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
Ma broo mmenishinda, ila mmebariki mchana wa J'3 yangu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…