Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......


Bia gani unakunywa nikuagizie braza
 
Bia zina sukari sana na zinaongeza uzito kizembe sana , binafsi pia nimeacha bia .
 
nataka kujua kwanza kabla sijatia neno,
wewe ni mnywaji au mlevi wa bia?
 
Bro bia sitaki kabisa, bia za kijinga sana yani bia mbili nakesha nasusu??? Ujinga huu....

Hivi ningekua ugenini si wangesema kuna kitu/mtu namnyapia huo usiku....imenikera

Braza...kukojoa kuna faida nyingi sana kuliko maamuzi haya ya kipuuzi ya kuacha bia

Amin amin nakwambia maamuzi uliyofanya sio ya busara
 
Bia zina sukari sana na zinaongeza uzito kizembe sana , binafsi pia nimeacha bia .
Bro una fujo, likes zote hizo???!!! Nmekuta notification kibao hadi nmeshtuka.....kimoyo moyo nkajisemea koneksheni yangu imevuja nini mbona mambo mengi, umenishtua bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…