Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Inauzwaje hilo jina tu nkilewa siwezi kulitamka, nitawaomba franco 😁
inategemea na ulipo ila kuipata hiyo lazima ukaulizie liquor store maana kuikutakuta tu sehemu za kawaida ngumu maana watz wengi si wanywaji wa liqueur ila liquor!.
huku nilipo ni around hamsini ama sixty!.
siku ukibahatisha kuitia mdomoni mwako hautanisahau...😁
 
Uko wapi, kuna kama 1.2 mill ya bear.. upige ya muogano.. utaacha kesho
 
Mirinda nyeusi bora unywe bia tu. Misukari ile utaviziwa na kisukari, unene, matatizo ya moyo, mapafu, figo na bado nyuki, nzi, sisimizi, siafu, mchwa watakutamani.
 
Pombe ni kama madawa ya kulevya tu huachi hata kidogo kacheki series ya limitless au movie ya limitless utaona jinsi drugs zinavokuwa ngumu kutoka mwilini hiii starehe hauwezi kuiacha ni sawa na mtu aseme naacha bangi na hawezi kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…