Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Unataka kunywa mirnda fruto ili iweje sasa?
 
Hapana mie hata sipo hivo nikisema naacha kitu nitaacha kweli na nitaacha kabisa..... Labda kama sijaamua.

Pombe mie siwezi kuacha, niache ili iweje sasa, nimeacha bia hizi sinywi tenaaa.
 
Dadaa nashukuru Mungu mimi mwezi wa pili sasa sijavuta sigara sijanywa pombe haina yeyote sio rahisi lkn nitashinda

Mungu anisaidie zaidi nipunguze na mbususu pia au nipite hata miez 6 nisifanye ngono

AMEN
 
Hadi mbususu kikono.....dah malemgo yako makubwa sana bro hongera
 
Mwanamke akiwa mlevi hafai maana kuliwa ovyo ni kugusa tuu
 
Hatari sana.Naomba bia ulizoziacha niletee nizichunguze mkuu.Watakuwa wamekuwekea dawa usizipende.
NB;Nina kiu ya bia hapa balaa.Ngoja nijivute kilabuni nikapige komoni kama kimbo saba hivi na Dominika hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…