Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

inategemea na ulipo ila kuipata hiyo lazima ukaulizie liquor store maana kuikutakuta tu sehemu za kawaida ngumu maana watz wengi si wanywaji wa liqueur ila liquor!.
huku nilipo ni around hamsini ama sixty!.
siku ukibahatisha kuitia mdomoni mwako hautanisahau...😁
Sasa bro nikitaka kunywa nianze kufunga safari kuzungukia pombe.....niambie nyingine ambayo nitaipata kirahisi.
 
1737302925411.jpg
 
Unaajidanganya tu , wewe na bia nakuambia bia ina nguvu kubwa kuliko wewe , jaribu kumuacha bwana bia ili tuone , yaani huwezi muacha bwana bia. Jaribu uone kwanza mie mwenyewe nataka nikupe offer ya bia njoo hapa bonasera Kama upo Mwanza, yaani haiwezakani usome hapa jhapa nyanza primary usikute nilikuwa nakuona wakati napita hapo kwenu balewa road naenda kitangiri. Njoo unywe bia Maisha duniani ni mafupi mno
 
Mirinda nyeusi bora unywe bia tu. Misukari ile utaviziwa na kisukari, unene, matatizo ya moyo, mapafu, figo na bado nyuki, nzi, sisimizi, siafu, mchwa watakutamani.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hadi mchwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bro bia mbili unapiga trip za toi? Pombe ishaanza kukataa, wenzio tunapiga kreti na tuko fit…!!
Sponsor anaanza kulewa yeye unaamua kumuitia boda awahi kwake 😹😹😹
Si ndio hapo bro, hadi nikahisi labda narogwa 😂😂 kweli vi bia viwili nakesha!!!!! Imeniuma sana
 
Back
Top Bottom