Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Pole kijana hii ni madhara ya malezi mabovu hii sio shida yako wala, pole mwaya..... Siku moja utakua poa. Ulale sasa bye
πŸ’©πŸ’© pole kwa ulevi pole kwa kutumika vbaya kwasababu ya ulevi... Ila zingatia afya yako... Okay ulale nawe bye
 
Pombe ni Starehe,, lazima iendane na Nyama choma ushibe kindakindaki,, pombe na njaa wp na wp
 
Mlevi hawezi kuacha pombe bali hupumzika tu.
Mnywaji pekee ndio huweza kuacha pombe.
 
Fortfied ndo kama zipi?

Kwamba unasusu hadi unanuka mkojo, hiyo sasa ni kujikojolea bro
Zipo nyingi kwavile umesema hutaki za bei kubwa basi Dompo au IMAGI zitakufaa.
Usipopenda hizo ukienda sehemu ukiulizia wine omba wakuletee uone Kama imeandikwa fortified wine.
Mara nyingi huwa red wine siyo white wine. Usinunue mild au semi sweet wine.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ukute unakunywa serengeti au castle πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yesuuuuu dompo?
 
hansonchoice na Cocacola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…