Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Kwa hiyo unataka kunishawishi na haka ka-zaka kangu nisikatoe
 
papa kaona aharibu mwisho wa mwaka huyoo papa kwa hayoo maneno ataharibu watu wengi sana duniani. yale mashirika yanayo tetea ndoa ya jinsia moja mwaka 2024 yatakuja kwa speed ya 5 g.
.
Unadhani papa peke yake anaweza kuongea jambo lililo kinyume na msimamo wa kanisa? Think again.
 
Tuwekee cheti chako cha ubatizo,komunyo,kipaimara na ndoa tuone uhalali wa ukatoliki wako, otherwise unakuja unajitia dole gumba kwenye tigo yako na kunusa!!!
 

View: https://youtube.com/watch?v=hifIo_lEdaY&si=-dyiEO5oxGjlyqGa
 
Wala hukuwa Mkatoliki, endelea tu na u Pentekoste wako. Sisi bado twaliamini Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.

Wala Pope hajaruhusu kubariki ndoa za jinsia moja, bali ni namna MNAVYOMTAFSIRI visivyo. Amesema hivi;


"Ni sawa kuwabariki hata mashoga lakini sio kuwafungisha au kuwafanyia ibada kuhusu relationship zao…


Hii inamaana Padri anaweza kumbariki shoga sawa na anavyoweza kumbariki mwizi na mali zake au mpagani au mtu wa imani nyingine.

🙌🏿🙌🏿
 
.
Wala sio swala la umri, do you really think pope anaweza kufanya maamuzi kwenye issue nyeti kama hii akiwa peke yake?? Think again.
Unadhani baba yako akikazania msinamo wake, nyie watoto mtakuwa na jipya?
 
Wanaruhusiwa kuja kwenye kanisa, yaani mtu umejipanga foleni ya kupokea Mwili wa kristo Mbele yako unamuona James Delicious?? STUPID KABISAA
that's a conservative view and it's undertandable. Papa ana mtazamo ambao ni more liberal. Na kwa kweli mimi nadhani yuko sawa. Kama james delicious hastahili kuingia kanisani, Chenge anapata wapi haki hiyo? Vipi kuhusu walevi? Vipi kuhusu wazinzi?. Unataka kuniambia james delicious ana madhara kwenye jamii kuliko Mafisadi ambao ni wazee wa kanisa?
 
Hii ni fake news! Kanisa katoliki lina njia zake za kusambaza habari na maamuzi yake! Why not CNN , Why always ni BBC?? Catholic will prevail always
Hujaona CNN.... Punguza machungu Najua ni ngumu kumeza but ndio ukweli ndugu. Tusitegemee sana kumsaka Mungu Kawa kupitia hizi TAASISI. MUNGU Waweza kuwa na mahusiano nae bila hizi TAASISI.
Maana shetani hatamtumia gwamaka WA kilolo kukamata waumini Bali watatumia Hao Hao viongozi WA dini na hizo taaisis maana anajua waumini mnaziabudu sana
 
.
Baba akiwaambia wanae wawe mashoga au wasagaji, watoto wamkubalie kwasababu yeye ni baba?
Baba atakazania msimamo
Na nyie watoto mtachagua kuunga mkono, ama kumchinjia baharini.

So back to pope, wazungu wenzake wanapenda hiyo michezo watamfata,huku Tanzania hatuna hizo pigo so tutachinjia baharini hoja yake.

So baba atabaki na msimamo wake
Watoto mtachagua pakusimamia..
 
Kwan nn kimetokea huko kwa wagalatia...
 
Fuata Uislamu kwa furaha yako lakini usitukaribishe sisi kwa kuwa tunaiona ni dini ya KISHETANI. Hata Salman Rushdie baada ya kusoma Quran vizuri akiona ni juzuu iliyojaa chuki, visasi na kumwaga damu. (rejea kitabu cha Satanic Verses)

Ninapomsikia mtu ni Mwislamu cha kwanza kinachokuja kichwani ni uwoga wa kuwa karibu naye. Maana Mwislamu kuvaa mabomu na kujilipua kwa ajili ya kumtetea Mwamedi ni dakika 0. Na sisi Tamzania tulikumbwa na haya madhila kule Amboni mwaka 2014 na Kibiti na Mkuranga mwaka 2016 hadi tulipopeleka jeshi na kuwaua wote.

Angalia kinachotokea huko Gaza ambapo Hamas wanaua maelfu ya watu, angalia Yemen, Somalia, Syria, Iraq na Afghanistan. Kote huko watu wanajilipua mabomu na kuua watu eti kumtetea ALLA!! Halafu unaniambia eti Uislamu ndiyo dini ya kweli?? MNADANGANYWA sana na warabu

Sisi Wakristu hususan Wakatoliki hata ungeitukana Imani yetu kiasi gani, tutakusikiliza tu, halafu tutaendelea na imani yetu. Hatupandishi Jazba NG'O!!

Haya matamko ya Pope Francis kwanza ni yake binafsi na pili vyombo vya habari vinapotosha aliyoongea. Kanisa Katoliki linabadili mafundisho yake siyo kwa kauli ya Pope bali kwa maamuzi ya Mtaguso Mkuu. Mtaguso Mkuu wa mwisho ukikuwa mwaka 1959 wakati wa Pope John XXIII (What is Vatican II?.) Mengine yote unayosikia kutoka kwa Pope ni maoni BINAFSI na siyo tamko la kanisa.

Ukimsikia mtu anasema ataacha UKATOLIKI kwa sababu ya matamko ya Pope, jua huyo HAKUWA Mkatoliki
 
.
Uko sahihi na bahati nzuri wewe umejitambua lakini shida ni kwamba mafundisho ya uongo yataangamiza wengine. Imagine mtu fulani ni shoga au msagaji, badala ya kuacha njia zake mbaya anaweza kuwaza kwamba kwa vile kanisa limebariki haya mambo, basi sio kosa kumbe anapotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…