Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Tulia wewe adui wa mshikamano wa taifa hili, wewe haupendi watu wakishikamana.
 
Yakiitishwa maandamano mtu hatoki lakini anataka mwingine apigane na serikali mpaka kufa kwake yeye amsifie bila kujulikana.
 
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Haya ni maoni kutoka kwa mtu mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri. Chama cha upinzani kipo kwa ajili ya kuikosoa serikali ili ifanye majukumu yake vizuri. Hoja ya Mbowe iko kwenye approach, kwamba huko nyuma serikali/CCM ilikuwa inafanya 'uhuni' nao wakawa wanakabil;iana nayo 'kihuni', lakini sasa Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM ameahidi kuwa 'hawatakuwa wahuni tena',sasa unashindwa nini kuielewa kauli ya Mbowe? ACT Wazalendo hakuna chama hapo usitupigie kelele!
 
Umepigwa na kitu kizito nchani na lazima ukae kwa kutulia.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yakiitishwa maandamano mtu hatoki lakini anataka mwingine apigane na serikali mpaka kufa kwake yeye amsifie bila kujulikana.
Ni ufala mkubwa.
 
Reactions: Tsh
Tunashukuru Akili za Lissu aliongea na Rais na papo hapo akatoka kusema wazi walichoongea. Sasa tunaona Hadidu za rejea moja baada ya jingine kikitimia.
Hii nchi ngumu sana
 
Tanzania haina wanasiasa wa upinzani, ina watu wenye njaa kali wanaoitwa wapinzani.
Mi nazani hadi sasa mpinzani wa ukweli ni Mdude wa Chadema,na huyo ndiyo napendekeza awe Mwenyekiti wa CDM Taifa! Maana Mdude ana msimamo sana! Sema matusi tu ndiyo yanamuharibia, lakini siyo kesi, atapewa training jinsi ya kuwasilisha hoja zake kwa hadhira!!
 
alidanganywa na nani?
 
Mbowe amewaacha wanaChadema wanashangaa, kesi kufutwa tu, hata makao makuu ya Chama hajaenda, moja kwa moja Ikulu...Amesaliti Chama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku nawambia mnataka kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila nature ina wakataa!

Alikuwa makamu rais, kisha akapanda kuwa rais alafu eti alidanganywa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Bahati nzuri umesema kwa sababu zako ni sawa ila jaribu na wewe kuwekwa ndani ili tujue wewe sio muoga na mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…