The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Tanzania haina wanasiasa wa upinzani, ina watu wenye njaa kali wanaoitwa wapinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni maoni kutoka kwa mtu mwenye kiwango cha chini sana cha kufikiri. Chama cha upinzani kipo kwa ajili ya kuikosoa serikali ili ifanye majukumu yake vizuri. Hoja ya Mbowe iko kwenye approach, kwamba huko nyuma serikali/CCM ilikuwa inafanya 'uhuni' nao wakawa wanakabil;iana nayo 'kihuni', lakini sasa Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM ameahidi kuwa 'hawatakuwa wahuni tena',sasa unashindwa nini kuielewa kauli ya Mbowe? ACT Wazalendo hakuna chama hapo usitupigie kelele!View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Umepigwa na kitu kizito nchani na lazima ukae kwa kutulia.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasi kama sio kuendelea kuumia?
Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.
Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.
Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Ni ufala mkubwa.Yakiitishwa maandamano mtu hatoki lakini anataka mwingine apigane na serikali mpaka kufa kwake yeye amsifie bila kujulikana.
Hii nchi ngumu sanaTunashukuru Akili za Lissu aliongea na Rais na papo hapo akatoka kusema wazi walichoongea. Sasa tunaona Hadidu za rejea moja baada ya jingine kikitimia.
Mi nazani hadi sasa mpinzani wa ukweli ni Mdude wa Chadema,na huyo ndiyo napendekeza awe Mwenyekiti wa CDM Taifa! Maana Mdude ana msimamo sana! Sema matusi tu ndiyo yanamuharibia, lakini siyo kesi, atapewa training jinsi ya kuwasilisha hoja zake kwa hadhira!!Tanzania haina wanasiasa wa upinzani, ina watu wenye njaa kali wanaoitwa wapinzani.
alidanganywa na nani?Mkuu umekuwa ukifatilia masingira ya kesi kweli?
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni. Rais Samia kwa kujua au kutokujua alidanganywa. Urais uone hivyo hivyo tu. Unaweza kukuta wala Samia hakuhusika kabisa na kesi mbowe licha ya matamko yake. Ni kweli ni Rais usisahau yule ni mwanamke pia.
Mbowe kwenda Ikulu sioni kosa kwani Ameshinda. Alisema hatatoka kwa kumpigia magoti mtu bora afie jela na hata uza haki kwa kipande cha mkate.
Sasa basi kama Rais ameomba waonane( kumbuka) sisi ndio tunaona ni ghafla lakini hili jambo lilipangwa kama Tundu Lissu alivyokutana naye Belgium
Kabisa mkuu Yoda.Ni ufala mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila siku nawambia mnataka kumkubali Samia ili kumkomoa Magu ila nature ina wakataa!Mkuu umekuwa ukifatilia masingira ya kesi kweli?
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni. Rais Samia kwa kujua au kutokujua alidanganywa. Urais uone hivyo hivyo tu. Unaweza kukuta wala Samia hakuhusika kabisa na kesi mbowe licha ya matamko yake. Ni kweli ni Rais usisahau yule ni mwanamke pia.
Mbowe kwenda Ikulu sioni kosa kwani Ameshinda. Alisema hatatoka kwa kumpigia magoti mtu bora afie jela na hata uza haki kwa kipande cha mkate.
Sasa basi kama Rais ameomba waonane( kumbuka) sisi ndio tunaona ni ghafla lakini hili jambo lilipangwa kama Tundu Lissu alivyokutana naye Belgium
Bahati nzuri umesema kwa sababu zako ni sawa ila jaribu na wewe kuwekwa ndani ili tujue wewe sio muoga na mnafiki.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Ukishajua hili basi wewe utauona ufalme wa mbinguni,watu wako kazini wakitumikia waajiri wao i.e. sirikaliAchana nao watu wanatafuta hela za familia zao