Atakuwa kaambiwa nenda kajionyeshe mbele za camera kwa lazima la sivyo .....
Hakuna opposition bali nj
1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Yaani Serikali imetumia gharama kubwa ya TOZO zetu kumkamata Mbowe na wenzie, kumdhalilisha, mwisho wa siku anaachiwa kifara hivyo. Kwa nini asingekataa kuachiwa huru ili tujua hatima ya hiyo kesi kama Wafuasi wa Mfalme Zumaridi waliogoma kupewa dhamana? Ki ukweli tulio wengi tumesononeka sana, tulitaka ijulikane mbivu ni ipi na mbichi ni ipi. Utawala wa kisheria sasa Tanzania haupo na uhuru wa Mahakama haupo tena bali ni DPP na aliyemteua ndo wenye mamlaka yote ya kufanya watakavyo.