Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Kwa tafasiri yako HAKAINDE HICHILEMA alikuwa Mwanamme wa Shoka hakuwahi kumpigia magoti Edgar Lungu, pamoja na mateso na kifungo cha muda mfupi hadi anaachiwa huru na leo ndio Raisi wa Zambia.

Uwongo mbaya Mbowe alikosea sana leo usiku kwenda kupiga picha za kificho na Rais Samia Suluhu Hassan
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umewachukia mpaka wakina mrema na cheyo? Kweli jana mama Samia kaumiza watu.
 
kama unaumia kajinyonge mkuu
 
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Serikali za mataifa makubwa zinaushirikiano na serikali ya Tanzania, je, zinafuata sera za CCM? Msitumie vichwa vyenu kufugia nywele na ndevu.
 
Si mnaambiwa kila siku wapinzani wa Tanzania ni njaa mbele kwa mbele mkawa mnatuita SUKUMA gang?
 
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Siasa za Mbowe siku zote ziko hivyo,kuanzia Kikwete,Magufuli na hata Sasa Samia!
Siasa za maridhiano ndio Imekuwa wimbo wake siku zote!
NB:Hiyo Haina tafsiri kwamba hamtakosolewa!Kwenye majukwaa ya siasa mtapigwa nondo!Kipindi Cha JK,Mbowe alienda Ikulu mara nyingi tu kuongea naye!Hiyo haikumfanya Mbowe aache kufanya siasa za ukosoaji!
Subirini Mwamba aje aendeleze vuguvugu la Katiba mpya ndio mtaelewa!
 

Ila walio kuita POPOMA hawakukosea kabisa, hilo jina POPOMA limekaa mahali pake kabisa.
 
Si mnaambiwa kila siku wapinzani wa Tanzania ni njaa mbele kwa mbele mkawa mnatuita SUKUMA gang?
Kwamba Mbowe ameenda Ikulu kupewa hela?
Una umri gani?Kama mtu mzima basi utajua siasa za Mbowe ni za namna gani!
Siku zote Mbowe anaamini katika maridhiano na umoja wa kitaifa!Hii Haina maana Samia hatachapwa kwenye majukwaa ya kisiasa!Ukosoaji utabaki palepale na madai ya Katiba mpya lazima yaendelee!
 
Vijana wa Mwendazake WAMEVURUGWA haswa.
 
Nitamshangaa sana huyo 'mwenyezi mungu' atakayepokea maombi ya kipopoma hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikushauri jambo namna nzuri ya ku win adui ni kuwa naye karibu
 
Hasira za kike hizo,, ulitaka aliyeteswa anune, au asuse, ili iweje? kwa faida ya nani? atafaidika nini akinuna?

Msome Lao Tzu - The art of War.. utaelewa alichofanya mbowe..

Acha lawama,, Wanaume hawalalamiki hvo, na kuwa na visasi vya kike.
 
Kama miaka yote umekuwa ukiwaombea wapinzani ili mambo yawe mazuri, matokeo yake wamedhulumiwa chaguzini, wamebandikwa kesi na kupigwa mabomu. Huoni kuwa kuamishia maombi yako kwenye CCM yetu ni kutuletea laana tu? Uwezo wa kuombea mtu/kitu/jambo huna mkuu.
 
Mbona ACT wazalendo wakifanya hivi huwa wanaitwa mamluki

Siasa ni hatari sana kwa Africa bila kipaji cha uongo au unafiki hauwez kuimudu

Jamani tuwe na akiba za maneno.
 
Wahi hospital better itakata Moto tukusahau Kama jiwe...
Mbowe kaunga juhudi hakuna namna...chama pekee kilichobakia upinzani ni chauma nazani wao kwakuwa Wana ubwabwa wanapozea njaa
 
Tumpe muda.
Uenda akaendeleza mapambano ya kudai katiba mpya na tume huru.
Ila ni ngumu.maana ukitaka kumuudhi Samia na ccm yake dai hivyo vitu
Mataga mnataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
HAKUNA mtu anayependa ajichimbie kaburi.
Alafu Mimi sipo ccm Wala chadema.
Mimi uwa napenda kuwa "mawazo huru"
Sipendi kushikiwa akili Wala kuwa mnafiki ninachokiamini Mimi ndicho sahihi hata Kama nitapingana na dunia nzima
Mataga mnataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?
 
Mpuuzi wewe, wewe unaogopa hata kuweka ID halisi umeweka fake na kujificha nyuma ya keyboard acha na wenzako wakae na familia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…