Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

je hukumu ya mahakama ya raia unaisikiaje huko mtaani? raia sio wajinga wanajua sana hiyo kesi ilikuwa inawavua nguo ndio maana walikuwa wanapaza sauti zao bila chenga futeni huo utumbo. mbowe sio gaidi #hukumu ya jamii
 
Unawapenda hawa sawa😂😂😂
 

Attachments

  • twitter_20210331_181648.mp4
    1.9 MB
Naanza kupoteza imani naww kuwa unapoteza kumukumbu
Kila siku nasemaga Tanzania hamna upinzani, chama pinzani wala wapinzani

CCM iko imara jana, leo na kesho

Mi5 tena kwa Rais Samia Suluhu Hassan
 
Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
Kuna mengi ya faida nyuma ya pazia hatuwezi kuyajua sasa.. Mbowe anajitambua na sio juha kiasi hicho
 
Mbna kama umepandisha mashetani vle
 
POPOMA maandishi ya herufi kubwa kuonyesha msisitizo.
 
Kuna uzi uliandika kuwa Kwa jinsi ushahidi ulivyokuwa unatolewa Mbowe hachomoki sasa amechoka hutaki apatane na watesi wake sisi washabiki wako tushike lipi.Maana chadema wamejaribu kuitisha maandamano hatujitokezi.tufanyeje mkuu
Wewe bado shabiki wake?
 
Point zako zinajijibu zenyewe,
Kufuta KESI ambayo DDP ameshindwa kuifuta kipindi chote, sio kigezo Cha SERIKALI YA CCM ,kutupelekesha Ili Hali Kesi WALITUNGA WENYEWE,NA WALIYO MFANYIA FAM ,Ndo yale Wanachama wengine Wanapitia mpaka wengine wameacha familia zao.

KESI ilikua lazima kufutwa tokana na mbinyo wa nchi za kidunia zinazoeshim utu na misingi ya utawala bora, so hata Kama tz inajiendesha KWa ufadhili wao ,so what, kwani waliyoyafanya si wao ,na je hawakujua outcome ya siasa zao za maji taka za kuumiza watu?

Swala la SSH pata mikopo kuliko sijui mtangulizi wake, KWanza ni haibu jivunia eti kupata mikopo katika nchi yenye KILA kitu miaka 60 ya uhuru ya kujenga vyoo, na madarasa, hata hivyo Iyo ni pesa nitalipa Mimi na vitukuu vyangu hatalipa yeye, Kama ambavyo kwake KILA kitu ni free

Nakubali keshi ya Mbowe itabaki historia katika siasa za kidunia,maana ni serikali yenyewe ilioamua kujidhalilisha tengeneza Kesi ya uhongo mpaka Dunia inajua Sasa so wasitafute huruma


Mwisho sijawahi pinga msimamo wa chama changu Kutana na Rais katika mda tulivu na mhafaka ,ila kwangu hii ya FAM ya kutoka mahabusu na kukutana na Rais haukua mda mhafaka.

Na bado nasema viongozi wangu KWa Hili wameshauri vibaya ,na wamekosea ni msimamo wangu period,

Chadema ilipofikia sio kuburuzwa tena ,bali tueshimiane katika kuleta mhafaka wa kitaifa,

Sio Mbowe tu KWANZA wafungwa wote wa kisiasa waachiwe huru, na serikali inayotaka kujenga KWa Hili sio ombi inakua lazima, kumfutia Mbowe mashitaka haitoshi ILIHALI watu wetu wengine wko magereza ,
 
Magufuli alikua sahihi kupiga marufuku siasa za kijinga maana hakuna umuhimu wa kuwa na watu wanaojiita wapinzani ikiwa kiuhalisia sio wapinzani ni wapiga dili tu.

Magu was right in so many aspects.

Aliwajua vizuri hawa watu.
 
Tatizo la wahitimu wa shule za kata hamna uwezo wa kupambanua, baki na umbumbu wako
 
Mwanasheria wa wapi mbna hueleweki
 
Wewe ni Mama wa kambo?
 
Kama Ni siasa basi Wewe Ni mbumbumbu wa siasa.

Baki tu kuwa shabiki wa simba, huku hutoshi km mitazamo hii.
 
Wewe ni mwehu tu na si vinginevyo.
 
Maslahi gani ya nchi aliyo enda kutoa? Upinzani wa kweli ni uasi tu basi. Ambao pia hatuutaki hata kidogo
 
hujajua vizuri maana ya kushikiwa runguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…