Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawapenda hawa sawa😂😂😂1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Kila siku nasemaga Tanzania hamna upinzani, chama pinzani wala wapinzani
CCM iko imara jana, leo na kesho
Mi5 tena kwa Rais Samia Suluhu Hassan
Kuna mengi ya faida nyuma ya pazia hatuwezi kuyajua sasa.. Mbowe anajitambua na sio juha kiasi hichoBinafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
Mkuu usilalamike kabisa yaani wewe sip cappuccino usome na gazeti. Hiyo ndiyo siasa tunayoitaka sisi wana CCM. Ila akijichanganya tu tena lazima aliwe kichwa. Mbowe alikuwa gaidi kweli na mara nyingi aliratibu mauaji ya viongozi waandamizi wa serikali na serikali ilikuwa inajua na mpaka sasa huo ukweli utabaki na yeye Mbowe anajua kabisa ni gaidi. Na utamuona kabisa sasa atakuwa siyo yule Mbowe mnayemdhania maana amejua sasa huwezi chukua nchi kwa kuendeshwa na wazungu. Na Lisu naye keshajua kabisa wazungu wabaya sana maana hakuna mzungu angeomba Mbowe aachiwe ikawa hivyo. Na ndiyo maana Lisu aliposhindwa uchaguzi alikimbilia ubalozi akijua watamuokoa
POPOMA maandishi ya herufi kubwa kuonyesha msisitizo.Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasi kama sio kuendelea kuumia?
Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.
Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.
Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Wewe bado shabiki wake?Kuna uzi uliandika kuwa Kwa jinsi ushahidi ulivyokuwa unatolewa Mbowe hachomoki sasa amechoka hutaki apatane na watesi wake sisi washabiki wako tushike lipi.Maana chadema wamejaribu kuitisha maandamano hatujitokezi.tufanyeje mkuu
Point zako zinajijibu zenyewe,Kwanza nitambue uhuru wako wa kutoa mawazo na pili nitaheshimu mawazo yako.
Hebu jiulize haya
1-wewe binafsi kama great thinker hujiuliz ni kwanini kesi aliyokataa dpp kuiondoa mahakamani kwa zaidi ya miez minnane imeondolewa ghafla namna hii?
2-je unaamini ni ushawishi wa viongoz wa dini tu ndo umepelekea kesi hii kufutwa baada ya gharama za UENDESHAJI WA zaidi ya miez nane? Kweli?
3-unafahamu nani alihitaji kuonana na mwenzake kati ya lisu na Samia nchini ubeligiji na kwanini SSH alienda ubeligiji.NJE YA KAMERA UNA ABC YA CAUSE NA REASON
4-Unafahamu gharama za kihistoria na kisiasa za kumfutia mashtaka mazito ya ugaidi kiongoz mwandamiz wa chama pinzani Cha siasa chenye ushawishi mkubwa kama chadema?
5-unafahamu kwanini SSH anapata mikopo kwenye kwenye taasisi za fedha duniani na kwa muda mfupi tofauti na viongoz waliopita?unajua anawapa nini au kuwaahidi nini ambacho watanguliz wake wengi walishindwa?
6-Unafahamu gharama za kuwa RAIS kwenye nchi zetu za Dunia ya tatu ambazo zaidi ya nusu ya bajeti yake inategemea ufadhili wa nchi mnazoziita mabeberu?
7-Unafahamu umuhimu wa mbowe kwenye siasa za nchi hii na siasa za kimataifa kama kiongoz wa chama Cha upinzani? Na Unafahamu ugumu ambao nchi inaupata kwa mbowe kuwa ndani kwenye diplomasia ya kimataifa
8-kwa akili ya kawaida unadhani kwanini mbowe kaenda kuonana na raisi? Mbowe kaomba kuonana na raisi au RAIS kaomba kuonana na mbowe na kwa nini iwe sasa?
Mwisho nishauri tu katika Dunia ya watu smart hakuna kitu muhimu kama unyenyekevu na proper decision making kwa kiongoz yeyote wa siasa mwenye vision.nawaheshimu wote
Mbowe awe na njaa!? SidhaniAtakuwa kaambiwa nenda kajionyeshe mbele za camera kwa lazima la sivyo .....
Hakuna opposition bali njaa tu
Mwanasheria wa wapi mbna huelewekiJana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
#free Sabaya
Wewe ni Mama wa kambo?Mkuu usilalamike kabisa yaani wewe sip cappuccino usome na gazeti. Hiyo ndiyo siasa tunayoitaka sisi wana CCM. Ila akijichanganya tu tena lazima aliwe kichwa. Mbowe alikuwa gaidi kweli na mara nyingi aliratibu mauaji ya viongozi waandamizi wa serikali na serikali ilikuwa inajua na mpaka sasa huo ukweli utabaki na yeye Mbowe anajua kabisa ni gaidi. Na utamuona kabisa sasa atakuwa siyo yule Mbowe mnayemdhania maana amejua sasa huwezi chukua nchi kwa kuendeshwa na wazungu. Na Lisu naye keshajua kabisa wazungu wabaya sana maana hakuna mzungu angeomba Mbowe aachiwe ikawa hivyo. Na ndiyo maana Lisu aliposhindwa uchaguzi alikimbilia ubalozi akijua watamuokoa
Kama Ni siasa basi Wewe Ni mbumbumbu wa siasa.1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Wewe ni mwehu tu na si vinginevyo.1. Ni Majuha

Sasa alikuwa anakaza fuvu la nini si angekubali tu toka awali kuliko kukaa miezi yote 8?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Maslahi gani ya nchi aliyo enda kutoa? Upinzani wa kweli ni uasi tu basi. Ambao pia hatuutaki hata kidogoSiasa sio uadui.watu wachache wasioielewa siasa ndio wanaofikiria siasa ni uadui.Ata hivyo kwa maisha haya ya kibongo lazima tukubali kua rais ni mtu mkubwa.kwahiyo ni sawa mbowe kwenda kuonana na rais kwa ajili yakutoa mawazo yake kwa ajili ya maslahi ya nchi.
hujajua vizuri maana ya kushikiwa runguu1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Naanza kupoteza imani naww kuwa unapoteza kumukumbu