Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Pumbavu....!!!!!!

Kwenda kwa Mbowe ikulu sio jambo lililotufurahusha wengi kama tulivyokwazika muhuni Lowassa kupokelewa cdm. Ila kwakuwa kaenda hatuna namna ya kuzuia kwani imeshapita, lakini kama angetaka ushauri kabla ya kwenda tungezuia hilo. Kwasasa tutaangalia nini kitatokea huko mbeleni kutokana na kukutana kwake na rais, akianza siasa za kujikomba ajue tutampotezea kama tulivyowapotezea wahuni wengine. Hatuna muda na siasa za kujikomba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hapo Pa kwenda ikulu bila hata kufika kwake, hapajakaa sawa ki itifakhi lol

Kwake anaenda hata usiku wa manane, je ikulu anaweza kwenda muda wowote? Hata JK mwenyewe alikuwa rais, lakini hawezi kwenda ikulu muda wowote. Kama hakwenda kwake, yale mavazi aliyovaa yalikuwa ya mume wa mama Samia? Tutapima matokeo ya alichoongea, akianza siasa za kujikomba ajue ameukalia.
 
HAKUNA mtu anayependa ajichimbie kaburi.
Alafu Mimi sipo ccm Wala chadema.
Mimi uwa napenda kuwa "mawazo huru"
Sipendi kushikiwa akili Wala kuwa mnafiki ninachokiamini Mimi ndicho sahihi hata Kama nitapingana na dunia nzima

Kwani kuwa ccm ni mpaka utuambie ww, sisi tunatazama michango yako tunajua uko wapi. Tukuone na mimba kisha useme ww sio mwanamke wala mwanaume!
 

Kimsingi huko Ikulu kaenda kama Mbowe na sio kwa kushauriana na chama chake. Muda aliotoka magereza mpaka muda alioenda ikulu sidhani kama alijadiliana ama kushauriana na uongozi wa chama chake. Mimi binafsi nimekwazika sana Mbowe kwenda ikulu, tena chini ya 24hrs toka atoke jela. Kwakuwa ameshaeenda hatuna jinsi ya kuzuia hilo kwani maji yameshamwagika. Cha muhimu ni kuwa macho na yeye kuanzia sasa, akianza siasa za kujipendekeza tu tunampotezea kama wahuni wengine.
 
We ni jinga kabisa. Unajionaga una akili sana ila kiukweli we ni punguani
 
Ulitaka Freeman akitoka aitishe mkutano mkubwa afunguke kila aina ya alioyapitia na baada ya hapo aitishe maandamano nchi nzima ziamke fujo, uporaji, umwagikaji famu ndio ujue kuwa CHADEMA wanaweza au?
Endelea kuwaombea ccm watawale milele ila ujue kuwa kiongozi wa chama cha siasa kikubwa lama CHADEMA sio sawa na mtu kuongoza familia.
Omba Dua zako zote mbaya ziipate CHADEMA ila kitabakia kuwa chama cha kweli cha upinzani nchini bila kura yako au ya familia yako.
Siasa haina rafiki wala adui wa kudumu, wewe una ushahidi wa kutosha kuthibitishia mahakama kuwa hao ambao Freeman amekutananao ndio walimfanyia hayo yote uliyoyasema? Inaonekana kuna jambo unalifahamu nyuma ya hii kesio iliokwisha linakusukuma kutaka kulitoa ndio sababu za wewe kuumia viongozi wa kisiasa kukutana.
 

Ni maoni yako yaheshimiwe.
 
Ukiona alichofanya Mbowe sio sahihi, anzisha chama chako cha upinzani ili uyafanye yale unayoyaona ni sahihi.

Dunia nzima hakuna mtu anaweza kushindana na serikali. Pili mpinzani kuzungumza na serikali sio ajabu na,nifano iko mingi ndani na nje ya nchi mfano Mandela alitolewa gerezani kwa siri akaenda kukutana na De clark. Katika mazungumzo kuna compromise au win win, ni wazi huwezi kupata yote lakini utaambulia kitu.

Binafsi naomba serikali iruhusu wagombea binafsi ngazi ya udiwani na ubunge ili kupanua demokrasia.
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
 
Kwanini usiichukie ccm kwa tabia zake hizo kutesa, kuhangaisha, kudhalilisha, kutisha, kufilisi, kuchafua na Ubaya wote walio fanya?! Ccm wamefanya mabaya yote, Wewe Una omba waendelee kutawala milele, Mungu hatasikiliza laana na maombi yako! Badala yake hukumu ya ccm kwa maovu yote hayo inakuja.
 
Sure mkuu, upo mchezo walitaka MFANYIA Mchungaji Msigwa kipindi kile wamefungwa ambapo Polepole chini ya mwendazake walitaka cheza picha Mchungaji akachomoa,

Upo ndani miezi nane ,hujajua nini kinaendelea, why usitulize akili KWANZA kwani Ikulu inakimbia, ?

Mkuu nimekwazika Sana yani,
 
Wewe huwezi kutucrush na hoja nyepesi ,WENDA hujui hata tafsiri ya neno Serikali , kwani kupambana na dola kunaitaji vita misimamo ya msingi inatosha kuinyosha dola, mbona walikuja na mbwembwe kwenye KESI ya FAM na wameufyata,

Hakuna Cha kuanzisha chama hapa ,Hiki chama ni Cha Wanachama wanaoendelea kukijenga KWa dam na jasho na hakuna aliejuu ya chama,
Ndugu zetu wamefungwa,wamekua virema, wengine wameacha familia yatima, familia zimepoteza wapendwa wao wewe unakuja na porojo za kijinga kabisa kwamba anzisha chama Chako,

Hatuanzishi chama Wala kuhama chama mkileta ujinga sie Wanachama tutawashughulikia hasa, na mtaondoka na kukiacha chama,
KWa Sasa hatutaki mchezo kabisa

Unakuja na propaganda mfu za Mandela hapa , we unafikili siasa za wakina Mandela miaka Iyo zipo sawa na nyakati hizi, kwanza Mandela alikua anapambana mkoloni mweupe,sisi tunapambana na mkoloni mweusi, huon tofauti

FAM anatakiwa kuja kutueleza Wanachama Kama alienda Kama yeye KWa nini, na sababu GANI ilimfanya kufanya hivyo kabla ya kutulia na kushauriana na viongozi wengine wa Chama,

Ikulu ipo ,Rais yupo na ameombwa mda mrefu wakutane na uongozi wa Chadema ,wakaishia Mpa likesi la ajabu ,Sasa Kama nia ilikuepo kulikua haraka GANI ,

KWENDA HUKO BWANA
 
Ila kiukweli Mbowe kwenda Ikulu mara tu baada ya kutoka jela kunatia shaka kwamba huenda kumetafutwa "compromise" na imepatikana.

Na hiyo "compromise" ndo tiketi ya siasa za upinzani kuendelea na mtindo wa siasa za matukio na kutojitambua kwamba wao ni wanasiaasa za upinzani.

Kwanza Mbowe alipaswa kwenda kumpuzika na kutafakari (the way Forward) na kuandaa mkutano na wanachama wake ambao wamekuwa nae kiroho tangu aingie huko jela.

Pia wapo wanachama ambao walikuwa hawakosi kuhudhuria mahakamani angalu kumuunga mkono mwenyekiti wao ambae alikuwa anakabiliana na madhila ya kubambikiwa kesi.

Kisha angekutana na kamati yake kuu ya CHADEMA na kuandaa mkutano rasmi na waandishi wa habari ambapo angetoa mwelekeo wa chama baada ya kadhia hiyo ya kesi zisizo na kichwa wala miguu.

Mwisho, angeandaa utaratibu maalum wa kuonana na mwenyekiti wa CCM yeye pamoja na ujumbe wake katika ofisi za Lumumba na si Ukulu kwani CCM kama chama kina ofisi.

Kuoanana na raisi na mwenyekiti wa CCM nje ya Ikulu kunaweka "neutral ground" kwa kwa kila mmoja kutoonekana bado anamchunga na hadhi sawa (kwa nafasi zao kichama).

Bila misimamo na misingi imara ya upinzani katika nchi hii, wanasiasa wa upinzani wataendelea kuonekana ni vituko mbele ya welevu.
 
NONSENSE!
 
Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
Unajua mm nachocheka, ni kwamba ye mwenyewe Gentamycin anacheka hii comment inayomuhusu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Atakuwa kaambiwa nenda kajionyeshe mbele za camera kwa lazima la sivyo .....

Hakuna opposition bali njaa tu
Mlijitokeza wangapi yalipoitishwa maandamano na mange kimambi achilia mbali ukuta. Ni ukatili kupenda kuishi kwa mateso ya wengine.
 
Nadhani umemaliza kila kitu.

Hakutakiwa kutoka jela na kukimbilia ikulu kwa mtesi wake.

Ingetakiwa aende siku nyingine, Tena na viongozi wengine wa CHD A.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…