Ukiona alichofanya Mbowe sio sahihi, anzisha chama chako cha upinzani ili uyafanye yale unayoyaona ni sahihi.
Dunia nzima hakuna mtu anaweza kushindana na serikali. Pili mpinzani kuzungumza na serikali sio ajabu na,nifano iko mingi ndani na nje ya nchi mfano Mandela alitolewa gerezani kwa siri akaenda kukutana na De clark. Katika mazungumzo kuna compromise au win win, ni wazi huwezi kupata yote lakini utaambulia kitu.
Binafsi naomba serikali iruhusu wagombea binafsi ngazi ya udiwani na ubunge ili kupanua demokrasia.
Wewe huwezi kutucrush na hoja nyepesi ,WENDA hujui hata tafsiri ya neno Serikali , kwani kupambana na dola kunaitaji vita misimamo ya msingi inatosha kuinyosha dola, mbona walikuja na mbwembwe kwenye KESI ya FAM na wameufyata,
Hakuna Cha kuanzisha chama hapa ,Hiki chama ni Cha Wanachama wanaoendelea kukijenga KWa dam na jasho na hakuna aliejuu ya chama,
Ndugu zetu wamefungwa,wamekua virema, wengine wameacha familia yatima, familia zimepoteza wapendwa wao wewe unakuja na porojo za kijinga kabisa kwamba anzisha chama Chako,
Hatuanzishi chama Wala kuhama chama mkileta ujinga sie Wanachama tutawashughulikia hasa, na mtaondoka na kukiacha chama,
KWa Sasa hatutaki mchezo kabisa
Unakuja na propaganda mfu za Mandela hapa , we unafikili siasa za wakina Mandela miaka Iyo zipo sawa na nyakati hizi, kwanza Mandela alikua anapambana mkoloni mweupe,sisi tunapambana na mkoloni mweusi, huon tofauti
FAM anatakiwa kuja kutueleza Wanachama Kama alienda Kama yeye KWa nini, na sababu GANI ilimfanya kufanya hivyo kabla ya kutulia na kushauriana na viongozi wengine wa Chama,
Ikulu ipo ,Rais yupo na ameombwa mda mrefu wakutane na uongozi wa Chadema ,wakaishia Mpa likesi la ajabu ,Sasa Kama nia ilikuepo kulikua haraka GANI ,
KWENDA HUKO BWANA