Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Lakini niliwahi kukueleza juu ya wapinzani waTz kuwa ni vibaraka wa mcc ukaja juu na kuleta siasa za maji taka zenu,leo umekalia panga yako wapi?

Hii ni sirikali wajinga ndiyo waliwao utomaso wa waTz ndiyo unaowagharimu siku zote.

Mali zote za mbowe alishalipwa na hana hasara yuko kazini sasa wewe mbwenelehe endelea kupiga makofi wakati familia yake inaenda chooni.

Walioanzisha upinzani Tz i.e cdm ni mcc kila kitu kilishapangwa
 
Mtoa mada inabidi asaidiwe kuelimishwa, sio kosa lake bali ni elimu na mapokeo yake.
Upinzani hauna dola hivyo hauna mamlaka yoyote katika nchi hii. Achilia mbali siasa za Afrika, Mbowe ni raia wa Tanzania na rais wake ni Samia hivyo sijaona kosa kwa mbowe kukutana na rais wake. Hatua hii ni nzuri na ya kujenga nchi na siasa yetu. NB: Bosi anuniwi.
 
Hujamuelewa mleta mada na hutokaa umuelewe kama yeye alivyokuwa hataki kuelewa kuwa wapinzani wote wako ccm na ni vibaraka wanaotumika kudhoofisha upinzani kwa kuleta maigizo ili siku zisonge mbele na watu wazidi kuitawala nchi hii kwa maigizo.

Wapinzani wako wote wako kazini chini ya boss wao wanaemtumikia na ujira wao uko palepale.

Jiulize kwanini mbowe hakuongozana na wenzake kwenda kushukru kwa rais na huko kanisani kama siyo maigizo?

Watz tujitafakari hamna wapinzani Tz hawajazaliwa wote ni makada silaha,seif,lowasa,mrema,nyarandu,kingunge,n.k wako wapi leo hii?

Za kupandikiziwa changanya na za kwako kama huna kaazime.

Hamtokaa mmuelewe mleta mada kamwe kwa kamasi zenu
 
Kutumia jina la che Guevara na akili hizi,sio sahihi.ungejiita chifu mangungo wa msovero wa ccm
 
Unataka asupport wapinzani ambao hawapo,we vipi?
Mama kuondoa aibu,kamuita Mbowe ikulu.mbowe kaona mbali,kamheshimu ameenda.leo mbowe kasema tusubiri ataongea baadae.sasa mnawashwa nini??tatizo mmezoea upinzani wa KIUJIMA UJIMA,badala ya sayansi.aibu ya mama hii.
 
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Huelewi maana ya ilani na uchaguzi. Kwa sasa ilani inayotekelezwa ni ya ccm; upinzani unachopaswa kufanya ni kuonyesha mapungufu ili yarekebishwe kwani wote tunajenga Tanzania moja. Siasa si uadui na upinzani si kupinga bali kuonyesha njia mbadala
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Kama hayakukuta utajitia tu ushujaa
ungekuwa siyo muoga tungeishakuona ukiongoza mapambano hata ya kutaka jamaa atolewe ndani
unajificha tu humu na majina fake halafu unajimwambafy
 
Makala zako huwa zimetulia mkuu ila hii umekasirika kupita kiasi... A human being is a political animal 😂😂😂
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Katiba mbovu ndug yang kapat haki yake kwa huruma tu
 
Kama hayakukuta utajitia tu ushujaa
ungekuwa siyo muoga tungeishakuona ukiongoza mapambano hata ya kutaka jamaa atolewe ndani
unajificha tu humu na majina fake halafu unajimwambafy
Huna Ubongo ( huna Akili ) hivyo acha Kunisumbia na Kunipotezea muda tafadhali sawa?
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Mkuu kweli kabisa hawa jamaa hawana dira yeyote ya kupeleka nchi hii mbele. Ni kikundi cha wahuni ambacho kinafadhiliwa na watu wako majuu ili nchi hii iingie kwenye machafuko.
CCM ni chama pekee kinachoweza kuwaunganisha watanzania wote
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Chuki zako hazina impact yoyote yaani unamchukia mtu ambaye hakujui wala hana mishe na wewe
 
View attachment 2139500Mbowe kaahidi kufanya kazi na serikali na kaahidi kushirikiana nayo, Sasa ni rasmi Chadema atatoa ushirikiano kutekeleza ilani ya CCM, na upinzani umejifuta, labda umebaki upinzani kutoka ACT wazalendo
Hii inaongeza uunganishaji wa kujua kilichotokea hapo kabla ya taifa kupitia wakati mgumu.
 
Back
Top Bottom