cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Lakini niliwahi kukueleza juu ya wapinzani waTz kuwa ni vibaraka wa mcc ukaja juu na kuleta siasa za maji taka zenu,leo umekalia panga yako wapi?1. Ni Majuha
2. Ni Wanafiki
3. Ni Waongo
4. Ni Waoga
5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi
6. Wana Uwendawazimu wasioujua
7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu
Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.
Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.
Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Hii ni sirikali wajinga ndiyo waliwao utomaso wa waTz ndiyo unaowagharimu siku zote.
Mali zote za mbowe alishalipwa na hana hasara yuko kazini sasa wewe mbwenelehe endelea kupiga makofi wakati familia yake inaenda chooni.
Walioanzisha upinzani Tz i.e cdm ni mcc kila kitu kilishapangwa