Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.

Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.

Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?

 
Kwahiyo pikipiki ni vyombo vya kisasa visivyochafua Hali ya hewa

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kutesa Kwa zamu. Sasa Wao zamu Yao....! 2025 Watawapigia Magoti ...We Subiri.
 
Utakuwa unamiliki bodaboda wewe..vumilia kama machinga walivovumilia kutolewa town
 
Kasema sababu nini? Bajaji pale posta huwa zinatuwahisha sana kazini na majumbani...
 
Kwani Leseni za biashara zao zinasemaje?
 
Kumekucha tena
 
Utakuwa unamiliki bodaboda wewe..vumilia kama machinga walivovumilia kutolewa town

Sipo huko mkuu ila ni rai tu jinsi tunavyoona wengine wanavyopambana kutafuta hela
Mimi huku niliko mjini kati naenda na tube mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…