Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Shida ilianzia hapo ulipovua sweta lako baridi ikukung'ute halafu ukampa yeye asikie joto,ulimpa nafasi ya kukuona bwege....wanawake wanataka wanaume shababi
Usinifanye nicheke bure.

Sawa nimemwacha sasa, akamtafute huyo shabibi wake ambae akiugulia njaa watatoleana tuu macho, akiumwa wataishia kuambiana pole tu, mimi si bwege, akatafute sasa hao wajanja watakaolipa hospital bills za mama ake.
 
Duu 🙌 kama ni hivi basi kwa kizazi hiki hakuna maana ya ndoa, hata zinazofungwa ni unafiki tu, sasa sijui kama kuna baraka pale God anaziweka kwenye unafik.
Ndoa zipo na genuwine peoples wapo. Tatizo hao watu wako kidogo mno na wengi ni fake peoples, wengi hukutana na fakes, wana conclude kwamba hakuna real husband and wives, ila its not true

Kwenye hayo mambo tembea sana na Mungu, omba Mungu akuonyeshe Mwanga mtu ulie nae kama ndie or not. Na utashangaa vile Mungu hujibu
 
Shida ilianzia hapo ulipovua sweta lako baridi ikukung'ute halafu ukampa yeye asikie joto,ulimpa nafasi ya kukuona bwege....wanawake wanataka wanaume shababi
Hamueleweki nyie unaweza pata shababi, fundi wa mafundi.Ila unaenda cheat na mzee mwenye kitambi,akipiga kimoja chali kisa tu ana hela,yaani sometimes hata sijui mnataka nini.Mkimpata mwenye hela mnakuja kucheat na vijana wasio na hela yaani siku hizi hamueleweki.
 
Wanawake hawaeleki wanapenda kitu gan ukifanya z anataka x Bora vijana tunaolindwa na mama zetu tusitembee ivyo ovyo
 
Please come back
 
Mkuu pole. Mpaka sasa hakuna aliyegundua hitaji haswa la mwanamke ni nini bila shaka hata shetani hajui hitaji ta mwanamke.
 
Usinifanye nicheke bure.

Sawa nimemwacha sasa, akamtafute huyo shabibi wake ambae akiugulia njaa watatoleana tuu macho, akiumwa wataishia kuambiana pole tu, mimi si bwege, akatafute sasa hao wajanja watakaolipa hospital bills za mama ake.
They want to flip to ur side.

The truth is she ddn't deserve you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…