Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Sio siku hizi tangu enzi za bustani ya edeni🙃
 
Usinifanye nicheke bure.

Sawa nimemwacha sasa, akamtafute huyo shabibi wake ambae akiugulia njaa watatoleana tuu macho, akiumwa wataishia kuambiana pole tu, mimi si bwege, akatafute sasa hao wajanja watakaolipa hospital bills za mama ake.
Kuna verse ya Marioo anaimba hivi,"ulisema sipati mtoto mkaliiiiii,huyu vipi?

Sikia,acha kutoa laana,hakuwa wako huyo,atapata tu mwingine anayeona anamfaa na wewe utapata tu atakaekufaa sema tu tu bahati mbaya umeshakata tamaa mapemaa...
 
Tnanks mkuu
 
Ulikuwa unamdinya vizuri akaridhika?
 
Dah sijui kwa nini nimefungua huu uzi. Maumivu juu ya maumivu hata hayo maandiko sijui yalitaka tuishi nao kwa akili ipi??? Ukiwa mwema tabu ukiwa sio mwema tabu aaaarghh halafu unapozama siku zote huwa pagumu nimeamini kila mtu lazima apitie maumivu haya kabla hajafa.
 
Unambato mpaka mtu anashindwa kutembea na bado dharau zipo pale pale. Mpe pesa mpe kimbato cha nguvu bafo akikuchoka atakudharau
Siyo kila mahali inafanya kazi. Kuna mahali unaweza kumbato vizuri sana tuu na bado ukadharauliwa.

Kifupi, hayanaga formula, a.k.a mwongozo
 
You are so weak men
 
Shida ilianzia pale ambapo uliziona red flags mwanzoni kabisaa ila ukajipa moyo na pili ulitanguliza vitu (material things) ili kumshawishi awe na wewe. You never loved, ila ni vile tu ulikuwa na msaada kwake.
Sio wewe tu, hata sisi tunapitia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…