Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Naomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitagNa anayezileta ni mwamba Rais mtarajiwa Dennis Robert Shughuru Na ID zake zingine
Angejua asingekuwa mke wa tatu. Ukewenza ni mbaya sana.Atakayeweza kumtuliza Kikwete atakuwa kaliokoa hili Taifa lisiangamie
Mzizi wa kukwama kwa Tanzania hii ya leo ni Kikwete.
Huyo ndio bossMbona kama tunamchukia Mzee wa watu bila sababu....utawala wake ulikua fair sana......sidhani kama anaweza kuwa anashauri haya mautekaji yanayoendelea.....wa kumlaumu labda ni mwendazake kwa kutokufanya voting ya kutosha kutuchagulia makamu....ndo kilichotufikisha hapa
Ni kutahadhalisha tu: Kumbuka, Kuna GENGE mbele/nyuma ya yote haya. Hayuko peke yakeHakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
hawa wanao mfumo nje ya mfumo wa kiserikali; kuna hata taasisi za kidini humo humo.Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
MkuuameachikaMzee gani?
Inasikitisha hata 'spectrophotometer' hujui kuiandika; na haitashangaza hata hayo uliyojaza humo huna habari nayo kabisa!Tukisema anapigwa vita sababu ya dini yake na jinsia yake tunakosea? Mbona mna macho lakini hamuoni??
Watu ni wale wale ila wamejisajili tena kutumia VPN.Mmmh ID mpya leo ndiyo wenye taarifa za ndaaani 😀,
Samia ni mwewe!Dua ya kuku...
Mmechoka kuishi Dar walokole!!!Samia ni mwewe!
Atanaswa tu; hakuna namna.
"Nadharia"?The ‘plot’ had thickened beyond his comprehension, he is just a puppet on the string.
Interesting to watch
Mind you ni nadharia tu
Katiba ya CCM ina hicho kipengele?..amekumbusha Polepole leo, ni utaratibu na desturi ya ccm chama kuji-rebrand kila baada ya miaka 10 na hivyo team yote iliyokuwa inaongoza serikali ndani ya miaka 10 hawawezi kuwa wagombea nafasi ya rais kupitia ccm bila kujali yote waliyofanya..! UMEELEWA?
Kwani Dar ni ya mama yako?Mmechoka kuishi Dar walokole!!!
Nasubiri jibu hapaMzee gani?
You place yourself on the pedestal, higher than anyone else to the extent that you can touch the clouds; and yet you want to rule the lowly, beneath your feet! Why?Naomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitag
Sijaja jamiiforums kudiscuss matukio na drama hizo sio level zangu sijaja jamiiforums kudiscuss matukio bali kutoa sulihisho kwenye matatizo ya wananchi
Haina. Ndiyo maana Lowassa na Sumaye wakachukuwa fomu.Katiba ya CCM ina hicho kipengele?
Ever heard of ‘three body problem’ in physics; that’s the conundrum."Nadharia"?
What do you want to see to be convinced there's no theory at play in this game!
"CCM ni chama cha Wenzetu"; and you know who those "wenzetu" are.