Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Dah, hongera yako....kama mm SIPA inafunguka lakn niki click kutaka kuangalia Allocation, hainyoshi response yoyote...cjui shida nn
Relax tu mkuu. Tatizo laweza kuwa mtandao na kingine ni kuwa allocation ya 2022/2023 bado kwa watu wengi(continuous) hawajawawekea.
 
Na mwak wa kwanz ulipew laki 4 badala ya 1.3milion nn tatizo ,wamepeleka wap Ela zile?
Sijajua mkuu but wakati naanza masomo(kwa mwaka wa kwanza) hizo laki 9 nilijilipia.
Kila mwaka unakuwa na allocation yake so nadhani haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…