Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Ni AIBU kwa NCHI yenye Miaka 60 ya Uhuru na Raslimali za Kutisha Haina Maendeleo na Wananchi wake mnawaita WANYONGE
Jiulize Nchi zilizokuwa Kundi moja na Tanzania kwa Umaskini leo zimekuwa Nchi zenye Maendeleo Makubwa tunawategemea Watupe Misaada wakati sisi tuna
Madini Aina zote
Bahari
Maziwa
Mbuga za Wanyama
Ardhi nzuri kwa Kilimo
Mabonde
GAS
MITO n.k
Kimechaguliwa na nani hicho chama cha majizi ya kura?
na mnyika
Sawa Polepole.
Huu mfano sio relevant na kuleta maendeleo ya nchi.Mtoto kazaliwa na kilo 2, baada ya muda miaka 10 ana kilo 5. Ni kweli kaongezeka, swali ni je huo uzito unaendana na umri wake?
Vipi watoto wengine aliozaliwa nao, wana uzito gani sasa hivi?
Compare and contrast wakati tunapata uhuru na leo hii baada ya miaka 60 ndio utajua namaanisha nini.Acha uongo wako, maendeleo ni wananchi kumudu basic needs na sio wingi wa maghorofa mjini.
Kama hadi leo watz wanaishi kwenye nyumba za nyasi kama panya utasema vipi kuna maendeleo
Shule na madawati ni suala linaloendana na kukua kwa population. Hivyo wakati mwingine sio la kulaumu sana, serikali inajitahidi maana kila miaka watu wanazaliana na population kubadilika.Mkuu maendeleo ni concept inayochagizwa na time, time ndiyo driving force ya maendeleo, hata kama tungebaki na wakoloni tungekipata tu hiki unachokiita maendeleo. Suala ni kwanini tumetumia miaka 60 kuanza kutambaa wakati wenzetu wenye umri sawa na sisi wanakimbia? Jibu ni Viongozi kukosa maono na kushindwa kuutumia muda (time) katika kujenga taswira ya maendeleo. Leo kila uchwao tunazungumzia kujenga shule na kuchonga madawati as if ni jambo jipya.
CCM huchaguliwa na wananchi kuunda serikali ili iwatumikie wananchi kulete maendeleo,umeelewa?Nyamaza wewe huna akili kichwani kwako!
Swali zuri sana hilo bwashee. Chadema ina miaka zaidi ya 25 ya uhai, lakini mpaka sasa haina hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu! Hitimisho: chadema ni kama huyo mtoto πββοΈπββοΈπββοΈMtoto kazaliwa na kilo 2, baada ya muda miaka 10 ana kilo 5. Ni kweli kaongezeka, swali ni je huo uzito unaendana na umri wake?
Kwanza kigezo kikubwa cha kusema kwamba ccm imefeli ni kwa sababu imeshindwa kutekeleza ahadi zake yenyewe. Nyerere alianza vizuri, pamoja na makosa aliyofanya ya kutaifisha mali mbalimbali na kuegemea ujamaa.Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na Zimbabwe. Hivyo mpaka anatupatia uhuru aliacha taifa letu lipo na hali mbaya ya kiuchumi na maendeleo.
Mw Nyerere alipopata uhuru aliandaa misingi mizuri ili kila mtu aweze kufaidi keki ya taifa hasa kwa kuanzisha siasa ya ujamaa na kujitegemea. Na ilikuwa na nia nzuri tu ila husuda za Mapebari wakamuangusha.
Tuachane na setbacks na mafanikio katika awamu zote tano mpaka hii ya mama Samia
Ukweli ni kuwa kwa taifa lililokuwa halina kitu kimaendeleo, leo hii tunamiundombinu iliyosimama ya barabara, afya,elimu hadi viwanda. Si busara kuibeza Ccm ambayo iliachiwa nchi ikiwa masikini kabisa kwa kila namna. Na leo hii tupo hii stage.
Kwani mnaobeza mlitaka tuwe kama Usa ambao wanamiaka zaidi ya mia mbili tangu wapate uhuru?
Mtaji wa CHADEMA ni watanzania, ccm wanaiogopa sana kiasi kwamba hawathubutu kuendesha uchaguzi huru. Rais Samia mwanzo alisema atakutana na vyama vya Upinzani , na CHADEMA walimuandikia barua wakutane, akakubali. Weeee! Ccm wakamwambia hivi unajipenda? Ukishaongea na hao jamaa ukaweka uwanja uwe sawa, huna chako. Hapa tunaishi kwa kuwadhibiti tu!Swali zuri sana hilo bwashee. Chadema ina miaka zaidi ya 25 ya uhai, lakini mpaka sasa haina hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu! Hitimisho: chadema ni kama huyo mtoto πββοΈπββοΈπββοΈ
Kati ya watu milioni 60 ni wangapi wanafaidi keki ya taifa? Kuna wachache wanaishi kama wafalme, waliobaki wana umasikini wa kutupa. Wananuka umasikini mpaka wanatia huruma. Yote hayo ni matunda ya siasa za ujamaa alizoanzisha Nyerere.Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na Zimbabwe. Hivyo mpaka anatupatia uhuru aliacha taifa letu lipo na hali mbaya ya kiuchumi na maendeleo.
Mw Nyerere alipopata uhuru aliandaa misingi mizuri ili kila mtu aweze kufaidi keki ya taifa hasa kwa kuanzisha siasa ya ujamaa na kujitegemea. Na ilikuwa na nia nzuri tu ila husuda za Mapebari wakamuangusha.
Tuachane na setbacks na mafanikio katika awamu zote tano mpaka hii ya mama Samia
Ukweli ni kuwa kwa taifa lililokuwa halina kitu kimaendeleo, leo hii tunamiundombinu iliyosimama ya barabara, afya,elimu hadi viwanda. Si busara kuibeza Ccm ambayo iliachiwa nchi ikiwa masikini kabisa kwa kila namna. Na leo hii tupo hii stage.
Kwani mnaobeza mlitaka tuwe kama Usa ambao wanamiaka zaidi ya mia mbili tangu wapate uhuru?
Utakuwa hujui maendeleo au Hujaona maendeleo wewe. Anyway, Tulitaka tuwe kama Singapore au South Korea.Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na Zimbabwe. Hivyo mpaka anatupatia uhuru aliacha taifa letu lipo na hali mbaya ya kiuchumi na maendeleo.
Mw Nyerere alipopata uhuru aliandaa misingi mizuri ili kila mtu aweze kufaidi keki ya taifa hasa kwa kuanzisha siasa ya ujamaa na kujitegemea. Na ilikuwa na nia nzuri tu ila husuda za Mapebari wakamuangusha.
Tuachane na setbacks na mafanikio katika awamu zote tano mpaka hii ya mama Samia
Ukweli ni kuwa kwa taifa lililokuwa halina kitu kimaendeleo, leo hii tunamiundombinu iliyosimama ya barabara, afya,elimu hadi viwanda. Si busara kuibeza Ccm ambayo iliachiwa nchi ikiwa masikini kabisa kwa kila namna. Na leo hii tupo hii stage.
Kwani mnaobeza mlitaka tuwe kama Usa ambao wanamiaka zaidi ya mia mbili tangu wapate uhuru?
Naunga mkono hoja.Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.
Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na Zimbabwe. Hivyo mpaka anatupatia uhuru aliacha taifa letu lipo na hali mbaya ya kiuchumi na maendeleo.
Mw Nyerere alipopata uhuru aliandaa misingi mizuri ili kila mtu aweze kufaidi keki ya taifa hasa kwa kuanzisha siasa ya ujamaa na kujitegemea. Na ilikuwa na nia nzuri tu ila husuda za Mapebari wakamuangusha.
Tuachane na setbacks na mafanikio katika awamu zote tano mpaka hii ya mama Samia
Ukweli ni kuwa kwa taifa lililokuwa halina kitu kimaendeleo, leo hii tunamiundombinu iliyosimama ya barabara, afya,elimu hadi viwanda. Si busara kuibeza Ccm ambayo iliachiwa nchi ikiwa masikini kabisa kwa kila namna. Na leo hii tupo hii stage.
Kwani mnaobeza mlitaka tuwe kama Usa ambao wanamiaka zaidi ya mia mbili tangu wapate uhuru?
Hauhitaji kuwa na ubongo ili uwe CCM. Hata mende anaweza kuwa mwanaCCMBora kukosa busara kuliko kukosa akili kwa kufikiria maendeleo yameletwa na CCM badala ya WATANZANIA WENYEWE. Mshajiona wenye nchi kiasi kwamba CCM ni muhimu kuliko Tanzania? π‘
Kwanini iwe big deal? whyShule na madawati ni suala linaloendana na kukua kwa population. Hivyo wakati mwingine sio la kulaumu sana, serikali inajitahidi maana kila miaka watu wanazaliana na population kubadilika.
Ndani ya miaka 60 ccm imetufanya masikini zaidi watz huku kikundi kidogo cha wanaccm na ndugu zao na marafik zao wakiishi maisha ya kifahar kwa kodi zetu tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzInashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini.