Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Una 20+Yaani kwa umri wako, Ume niacha Mara 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una 20+Yaani kwa umri wako, Ume niacha Mara 3
3Una 20+
Hahahah sawaMkuu hongera Sana,
Hii papatupapatu ya masomo kama yangu tu, nilianza kuheshimiwa home baada ya matokeo ya kidato Cha nne, Ila wewe umenizidi kigugumizi Cha kuandika Mimi Nina kigugumizi Cha kuongea.
Mapenz tuSasa dogo mbona ulikua mjanja mjanja ikawaje ukanaswa kindezi na Mercy??
Hahahahah[emoji24][emoji24] Aah maswala ya kuamkiana tena hapana
Hahahahaa ....mapenzi nyokooo sanaaanSasa dogo mbona ulikua mjanja mjanja ikawaje ukanaswa kindezi na Mercy??
Mercy kamshusha vyeo mwambaHahahahaa ....mapenzi nyokooo sanaaan
Jikite kwenye mada wewe acha tabia za ki adrizKuna mzee ali nambia kufa ili uishi, nime mwelewa Leo usiku
nimemaliza darasa la saba nina mwaka hapoNiko la 7
Kwaio ndugu yangu ulitaka watu wote mlingane umri? Italeta vipi maana halisi ya maisha na kuishi? Haina maana yoyote kwako kuwahi kuzaliwa na yeye kuchelewa.....Generation zitaendelea kuwepoHapo nipo Chuo Mwaka wa mwisho mtu ndio anaanza vidudu
Mwaka 2000 umezalisha generation nyingine kabisa, Mimi hapa nilipo sina utofauti na Sokwe Mzee alieikwepa Mishale mingi wajukuu zangu mna mengi ya kujifunzaKwaio ndugu yangu ulitaka watu wote mlingane umri? Italeta vipi maana halisi ya maisha na kuishi? Haina maana yoyote kwako kuwahi kuzaliwa na yeye kuchelewa.....Generation zitaendelea kuwepo
Kaka naona umemkosea heshima sana member mwenzetu hapa jukwaani, huyu atakuwa ni mtu mzima regardless of his age. Hapa jukwaani tukisema sote tuwe na msimamo kama wako hakika jukwaa litakufa kabisaaa.Mwaka niliograduate University ,ndo dogo anamaliza la7🤣🤣sisomi Tena nyuzi zake,ndo anabalehe,hapo aliko shawaha bado zinanuka ule uchangah
Kumbe kalisoma diploma,manake kamejisifu kalisoma chuo,kumbe chuo Cha kata mamaeeh 🤧🤧🤧
Nakaweka ignore list asap,sitaki kusoma story za teeneger,it's rubbish.
Ana ka ujinga fulani kichwani,licha ya kupata elimu yake ya chuo lakini bado haikumsaidiaKaka naona umemkosea heshima sana member mwenzetu hapa jukwaani, huyu atakuwa ni mtu mzima regardless of his age. Hapa jukwaani tukisema sote tuwe na msimamo kama wako hakika jukwaa litakufa kabisaaa.
Naamini kuna watu wanakuzidi sana umri pengine ni kama baba zako ila kutwa kucha mnapishana na kufarakana kwa hoja na kwa heshima kabisa. By the way kuwa na umri mkubwa siyo sifa ya kujifanya ujikweze na kuwadharau uliowazidi umri.
Kuna watu ni wadogo sana humu aisee, hivi humu mkubwa Mimi tu au
Sio mchezoKuna watu humu huo mwaka wa mleta Mada ndio wanastaafu Kazi na wanakula mafao yao😁