Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

Afadhali
Afadhali umempa somo. 😄😃
 
Inawezekana unaishi na magonjwa mengi bila kujijua.
Kama yapi ambayo yananifanya niendelee kuwa hai hadi sasa. Nimeanza kuchambia maji zaidi ya muongo mmoja ulipita.
 
Turudi tena kwenye zama za vibunzi vya mahindi??
Hakuna smooth altenative?
 
Watu watumie tishu
 
You're not serious man,not serious at all.

How many times can a man clean his pen*** after peeing when he is not at home.

By the way cleaning pen**** with water is not an African tradition at all.

offcourse, might be......but its the good culture to comply with..... we normally take the good thing, otherwise you have to prove is not right thing.....

Please prove to me, cleaning the cork with water is not right and peeing without cleaning is right....
 
Hapo mle mada naona tatizo ni uelewa na uchafu wa mtu binafsi na haliko kwenye kutumia maji sababu hata hizo tissue wako pia wasioelewa matumizi yake.
 
Nimeishi sehemu nyingi, 99.99999% ya watz hawanawi mikono wakitoka chooni! Hiyo 0.00001% inayobaki nadhani ni mimi mwenyewe pekee! Elimu kubwa sana inahitajika.
 
Watu wanachamba kwa maji toka enzi za yesu na hawakuwa na UTI Wala vidonda vya tumbo
Muhammad akaanzisha kuchamba kwa mawe

Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…