Kuchapwa watoto kiasi hiki ni sawa?

Mbona umepanic, kuna sheria za nchi lazima zifuatwe, shirika lolote liwe la dini au la nini, lazima lifuate sheria za nchi.
Inaonyesha sijaelew nilichomaansha , labda lugha niliyotumia
 
😁sasa mkuu si ungetwanga kiswahili tu
Kwamba na chapian,
Ki Africa tuna mkanganyiko wa kimwenendo unaogemeo milengo ya DINI, TAMADUNI (KABILA ) na kisheria , ukitazama hapo naona hilo limetokea katk taasisi ya kidin ambayo husimamia sheria za kidin japo hakuna taratb / sheria yoyote inayoenda kinyume na katiba (Laws Of Tanzania) itakuwa sio ni morraly wrong act
 
kwa hiyo dini ya kiislam inaruhusu kuchapa watoto kikatili namna hii? ndivyo unavyotuambia?
Mi c muislam lakn naamin anapasw kufuata miungoz ,kam yupo kinyume achukuliwe hatua.

Ila mara zote madrasa hutoa azabu kali san cjui walijifunzia wapi , hadi chin ya unyayo naona wanachapwa
 
umenena vyema, lengo la adhabu ni kurekebisha/kubadili tabia, adhabu inapogeuka mateso inasababisha matatizo mengine makubwa zaidi, ikiwemo hayo ya woga, chuki, kulipiza visasi, mwisho wa siku ndo hayo mtoto anafanyiwa ukatili/kubakwa/kulawitiwa na mtu wa aina hiyo, anashindwa kusema popote, tuache malezi ya kukariri
 
malezi gani mabaya yana rekebishwa kwa exaggerated/harsh corporal punishment?
OK. Hebu fikiria (Imagine) ww ni mwl. na ghafla unaletewa watoto wa shuleni kwako wamekamatwa kule nje wakidokoa fedha kwenye kibobo cha mama Naniliu hapo mgahawani.
Hebu pendekeza wewe adhabu ya kuwapa huku ukizingatia wametoroka halafu mbaya zaidi wameiba. Ila mama Naniliu kasema nawasamehe ni sawa na wanangu tuu.
 
Mimi nimesoma enzi zile hizi shule za private ndio zinaanza Anza kuchomoza na kufaulu na kuchaguliwa kwenda sekondari ya serikali ilikuwa sio jambo jepesi. Sikufanikiwa kufaulu lakini nikiambiwa nitaje sababu tatu kwanini sikufaulu namba moja itakuwa ni Kwa sababu ya uchapaji wa hovyo wa waalimu wa enzi hizo
 
Wazazi ndio mzizi wa tabia za watoto. Mtoto hazaliwi na tabia. Tabia anazokuta baada ya kuwa duniani. Je, mwanao unamlea kwenye mazingira ya tabia zipi?
Umenena vema kwamba mtoto hazaliwi na Tabia. Tabia anayokua (Grow) ni ile anayoikuta duniani. Sasa hapo mwanangu nimemzaa na amenikuta nna tabia niliyo nayo. Kwa hiyo; hiyo ndo Tabia atakayoenda nayo. Lakini tukubaliane pia kwamba Mazingira (watu, wanyama, mimea, Teknolojia na hata hali ya Hewa) yanayomzunguka mtoto yana mchango wake mkubwa sana kwenye kui-shape tabia ya mtoto yeyote.
Umemalizia vizuri: Unamlea mwanao kwenye mazingira ya Tabia zipi???
e.g. mwanao anapenda kwenda pale barabarani kijiwe cha bodaboda. Unategemea ataangalia tuu au ataiga, atasema na atafanya kama wafanyavyo wale boda anaoshinda nao siku zote?. Lakini mwanao anapenda kufuatana na watoto majirani anaenda msikitini, kanisani au tuition. Anapenda kufuatana na mama yeke sokoni n.k. Kwa hayo, Huko atajifunza yale atakayokuwa anasikia au kuyaona yakitendeka i.e. upole, utii, asafi wa mwili na roho, heshima, nidhamu na zaidi atakuwa na hofu ya Mungu moyoni mwake.
 
Mwee! maTeacher walikuchapa hovyo ili uelewe kile unachofundishwa darasani au ni ili uweze kufeli kwa kiwango cha juu zaidi? Tafakari broo halafu uwatake radhi waalimu waliokufundisha.
 
Mi c muislam lakn naamin anapasw kufuata miungoz ,kam yupo kinyume achukuliwe hatua.

Ila mara zote madrasa hutoa azabu kali san cjui walijifunzia wapi , hadi chin ya unyayo naona wanachapwa
sasa wewe kama sio muislam inakuwaje unageuka kuwa msemaji wa mambo ya kiislam? wakati mashehe wameshatoa waraka kulaani kitendo cha ustaadhi huyo? au ule waraka haukuusikia.
 
Na mtu akijichanganya kupiga mwanangu kisa dini , ndio watu wa dini watajua ni jinsi gani mimi sina dini nitakavyo choma pu,,mb za maalimu nakuzila.

Note: binti yangu mwaka huu 2025 kafanya uchaguzi wa kufuata imani ya kiislamu na ameanza mafunzo rasmi ila nasema ole wao
 
Mwee! maTeacher walikuchapa hovyo ili uelewe kile unachofundishwa darasani au ni ili uweze kufeli kwa kiwango cha juu zaidi? Tafakari broo halafu uwatake radhi waalimu waliokufundisha.
Huwezi mchapa mtoto fimbo zaidi ya ishiri alafu somo lako nilielewe zaidi walikuwa wananitoa kwenye mood kabisa. Nilifanya tathimini baada ya kukua na kujitambua ndio nikajua hiyo ndio sababu ya kwanza kabisa. Sio kila mtoto anaeleweshwa Kwa fimbo
 
Uislamu ni laana, ukiwa muislamu umelaaniwa.
Waislamu wote ni magaidi.


Kuna madrasa Manzese Dar es Salaam watoto wanapigwa makofi mpaka mtoto anahema kama vile anakata roho.
 
Unaf!rw@
 
malezi gani mabaya yana rekebishwa kwa exaggerated/harsh corporal punishment?
Huo ni utumwa au ni mbinu zilizotumiwa na watawala yaani wakoloni kumazimisha watu waishi vile watavyo wao. Muhimu na la msingi, ni kufuatilia kila nyendo ya mtoto na kumpangia ratiba yenye kumjenga. Ukimuacha mtoto ajilee au alelewe na ulimwengu, utapiga uue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…