Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Majini yako aroundNimeshindwa hata kuelezea, naomba kufahamu kama ni sawa jaman,. Kuna mtoto mdogo hapo nimemuonea huruma sana.
Lakini serikal imekataza kuchapa watoto wawapo mashule, sasa swali, hapo ni wanaruhusiwa kuchapwa namna hiyo? Hakuna adhabu nyingine kwani ya kuwafanya wasirudie kosa?
Nawasilisha.
Cc: Doroth Gwajima
Pia soma
- Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa
View attachment 3242079
