TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Inaonyesha sijaelew nilichomaansha , labda lugha niliyotumiaMbona umepanic, kuna sheria za nchi lazima zifuatwe, shirika lolote liwe la dini au la nini, lazima lifuate sheria za nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonyesha sijaelew nilichomaansha , labda lugha niliyotumiaMbona umepanic, kuna sheria za nchi lazima zifuatwe, shirika lolote liwe la dini au la nini, lazima lifuate sheria za nchi.
Kuna sex za aina ngapi kwani? We unaamini mtu aliyepewa sexual access atafanya sex ya aina moja tu ya kawaida..?
anajipa exclusive access ya all openings/holes availableKwamba na chapian,😁sasa mkuu si ungetwanga kiswahili tu
barbaric corporal punishment, it is against moral/religious/ human valuesNasoma comments
Binafsi siwezi kuangalia hiyo video nikaharibu usiku wangu in case ikawa inasikitisha
Sisapoti viboko/kupiga mtu kwa 100%
Mi c muislam lakn naamin anapasw kufuata miungoz ,kam yupo kinyume achukuliwe hatua.kwa hiyo dini ya kiislam inaruhusu kuchapa watoto kikatili namna hii? ndivyo unavyotuambia?
umenena vyema, lengo la adhabu ni kurekebisha/kubadili tabia, adhabu inapogeuka mateso inasababisha matatizo mengine makubwa zaidi, ikiwemo hayo ya woga, chuki, kulipiza visasi, mwisho wa siku ndo hayo mtoto anafanyiwa ukatili/kubakwa/kulawitiwa na mtu wa aina hiyo, anashindwa kusema popote, tuache malezi ya kukaririusipende maisha ya kishamba na kibushiparty uliyokuzwa wewe na watoto wako wakuzwe hivyo. kama haujui, mtoto anayechapwa chapwa huwa anapoteza kwanza uwezo wa kujieleza, na uwezo wa kujiamini. hao ndio wamejaa hata makazini ukimwambia simama hapo mbele jieleze hawezi, na hajiamini, kwa sababu alikuzwa kwa hofu na woga mtupu. na inawezekana wewe ndio mtu wa aina hiyo. don't pass that to your kids please! baki nazo wewe peke yako.
Jamaa walikuwa hawafai aisee.Kuna sex za aina ngapi kwani? We unaamini mtu aliyepewa sexual access atafanya sex ya aina moja tu ya kawaida..?
OK. Hebu fikiria (Imagine) ww ni mwl. na ghafla unaletewa watoto wa shuleni kwako wamekamatwa kule nje wakidokoa fedha kwenye kibobo cha mama Naniliu hapo mgahawani.malezi gani mabaya yana rekebishwa kwa exaggerated/harsh corporal punishment?
Umenena vema kwamba mtoto hazaliwi na Tabia. Tabia anayokua (Grow) ni ile anayoikuta duniani. Sasa hapo mwanangu nimemzaa na amenikuta nna tabia niliyo nayo. Kwa hiyo; hiyo ndo Tabia atakayoenda nayo. Lakini tukubaliane pia kwamba Mazingira (watu, wanyama, mimea, Teknolojia na hata hali ya Hewa) yanayomzunguka mtoto yana mchango wake mkubwa sana kwenye kui-shape tabia ya mtoto yeyote.Wazazi ndio mzizi wa tabia za watoto. Mtoto hazaliwi na tabia. Tabia anazokuta baada ya kuwa duniani. Je, mwanao unamlea kwenye mazingira ya tabia zipi?
Mwee! maTeacher walikuchapa hovyo ili uelewe kile unachofundishwa darasani au ni ili uweze kufeli kwa kiwango cha juu zaidi? Tafakari broo halafu uwatake radhi waalimu waliokufundisha.Mimi nimesoma enzi zile hizi shule za private ndio zinaanza Anza kuchomoza na kufaulu na kuchaguliwa kwenda sekondari ya serikali ilikuwa sio jambo jepesi. Sikufanikiwa kufaulu lakini nikiambiwa nitaje sababu tatu kwanini sikufaulu namba moja itakuwa ni Kwa sababu ya uchapaji wa hovyo wa waalimu wa enzi hizo
sasa wewe kama sio muislam inakuwaje unageuka kuwa msemaji wa mambo ya kiislam? wakati mashehe wameshatoa waraka kulaani kitendo cha ustaadhi huyo? au ule waraka haukuusikia.Mi c muislam lakn naamin anapasw kufuata miungoz ,kam yupo kinyume achukuliwe hatua.
Ila mara zote madrasa hutoa azabu kali san cjui walijifunzia wapi , hadi chin ya unyayo naona wanachapwa
Huwezi mchapa mtoto fimbo zaidi ya ishiri alafu somo lako nilielewe zaidi walikuwa wananitoa kwenye mood kabisa. Nilifanya tathimini baada ya kukua na kujitambua ndio nikajua hiyo ndio sababu ya kwanza kabisa. Sio kila mtoto anaeleweshwa Kwa fimboMwee! maTeacher walikuchapa hovyo ili uelewe kile unachofundishwa darasani au ni ili uweze kufeli kwa kiwango cha juu zaidi? Tafakari broo halafu uwatake radhi waalimu waliokufundisha.
Sio kweli.Uislamu ni laana, ukiwa muislamu umelaaniwa.
Waislamu wote ni magaidi.
Kuna madrasa Manzese Dar es Salaam watoto wanapigwa makofi mpaka mtoto anahema kama vile anakata roho.
Unaf!rw@Mbona anawachapa kisaatarabu sana,watu tumechapa katika umri kama huo kwa kuninginizwa juu ya kama za kufulia.
Wazazi wa siku hizi,mnajifanya hamuwadhibu watoto ndio mnakuja kujenga watoto mashoga na makahaba.
Mtoto wa kiafrika ni fimbo tu,lasivyo tujiandae kizazi cha badaye kiwe kama cha wazungu.
Sawa, mpeleke mwanao madrasa.Sio kweli.
Ameshaanza mkuu kwa sababu amechagua hivyo .Sawa, mpeleke mwanao madrasa.
Huo ni utumwa au ni mbinu zilizotumiwa na watawala yaani wakoloni kumazimisha watu waishi vile watavyo wao.malezi gani mabaya yana rekebishwa kwa exaggerated/harsh corporal punishment?
Muhimu na la msingi, ni kufuatilia kila nyendo ya mtoto na kumpangia ratiba yenye kumjenga. Ukimuacha mtoto ajilee au alelewe na ulimwengu, utapiga uueUmenena vema kwamba mtoto hazaliwi na Tabia. Tabia anayokua (Grow) ni ile anayoikuta duniani. Sasa hapo mwanangu nimemzaa na amenikuta nna tabia niliyo nayo. Kwa hiyo; hiyo ndo Tabia atakayoenda nayo. Lakini tukubaliane pia kwamba Mazingira (watu, wanyama, mimea, Teknolojia na hata hali ya Hewa) yanayomzunguka mtoto yana mchango wake mkubwa sana kwenye kui-shape tabia ya mtoto yeyote.
Umemalizia vizuri: Unamlea mwanao kwenye mazingira ya Tabia zipi???
e.g. mwanao anapenda kwenda pale barabarani kijiwe cha bodaboda. Unategemea ataangalia tuu au ataiga, atasema na atafanya kama wafanyavyo wale boda anaoshinda nao siku zote?. Lakini mwanao anapenda kufuatana na watoto majirani anaenda msikitini, kanisani au tuition. Anapenda kufuatana na mama yeke sokoni n.k. Kwa hayo, Huko atajifunza yale atakayokuwa anasikia au kuyaona yakitendeka i.e. upole, utii, asafi wa mwili na roho, heshima, nidhamu na zaidi atakuwa na hofu ya Mungu moyoni mwake.