Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

Mbona husemi " mpaka sasa nimepoteza marafiki 4 kwa vifo vya ghafla lakini mimi bado nakula tu sifi, NIMECHELEWA".
ahahahahah
pole ndugu, dunia ni sehemu isiyo na usawa na ni sehemu ya kikatili sana.
 
kuna ukweli inawekana kabagua sana ni mtu wa uchagni kuna siku mwenzie naye alisema sitaki watu wa nyumbani anataka eti mwanume mjanja wa dar😀😀😀
 
wewe bado kijana mdogo sana, piga kazi - utajiri huja kuanzia 45 +
 
Sidhani kama umechelewa, kawaida tuu. Kumbuka kutangulia sio kufika. Wakati wako haujafika tuu.
 
Obama alikuwa na 47
 
Life begins at 40 dogo.. don't sweat the small stuff
 
Wakati Obama ana miaka 60 ni rais mstaa aliehudumu vipindi viwili

Biden ana miaka 78 ndio kwanza first years

Jamaa anaona kachelewa sana

Kwakifupi ana pressure kutoka na maisha ya watu

Peer pressure

Aachane na maisha ya watu just minding his business.

Halafu asiwe mtu wa kukata tamaa mapema

Popote kwenye haki ya aipiganie ikiwezekana akichafue

Asiwe mnyonge akufa kifala
 
@cariha kipenzi tolea mifano wabongo wenzako wazungu sio wenzetu kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mifano ya kibongo Iko kwa watu ninao wafahamu ila nikiwatolea mfano itakuwa ngumu kueleweka kina trump, Biden wanajulikana na kila mtu so ni easier watu kuelewa, pia hata ukiamua kufanya vitu Kwa ku force na kuwa desperate kama mda sahihi haujafika hautoboi wallah
 
I agree with you na Kuna watu ni wachapa kazi na wabunifu ila still wana struggle tu, so kujiona umechelewa ndio kujitia nuksi ya kuzidi kuchelewa
 
Kosa kubwa tunafanya wabongo ni muda wote kutafuta maisha badala ya kuishi, ukiamuwa kuishi maisha ni burudani tu.
 
Tatizo jamaa anakata tamaa mapema

Hapa juzi kati nilikuwa Nina kazi mgumu sana ya kuifanya muda haunitoshi,nachoks kazi yenyewe silipwi na lazima niifanye yaani must

Nilikuwa nalala saa 8 usiku na kuamka saa 11 kuendesha kibaruani

Kazi ilipaswa itimie ndani ya mwezi mmoja nimepewa deadline

Kuna kipindi hapo kati nikasema "aaah mi bwana siifanyi waaamue watakalo"

Nilikaa wiki nzima sijagusa PC nalala tu wiki inayofata nikaendelea na hio

Just imagine nikamaliza on time safi kabisa

Jamaa wakaikubali kazi

Juzi nawaza sasa Kama ningeipiga chini si ningeoneka mzembe sana

Kumbe ukikata tamaa huwezi fanikisha kitu chochote katika hii dunia

KOMAAA unajua KOMAAA aisee ukianza kitu usiishie njiani hasa kama kuna tija umeiona

Hii ndio falsafa yangu siku hizi ni kukomaa mwanzo mwisho
 
Kama kuna mtu amekuambua bhas naomba nisisitize. Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi. Kwahiyo hujachelewa mwaya. Wakati wako tu, bado.
 
Haya ndio maneno. Ukikata tamaa ama ukisema haiwezkani bhas inabaki hivyo hivyo.

Mm nimeshahangaika sana kutafuta maisha ingawa sijafka napotaka lakini nimekuwa stronger, brighter and better.

Big up brother hatuna namna zaidi ya kukomaa.

Tuko pamoja
 
yesu mwenyewe alianza kazi aliyoagizwa alipofikisha miaka 30 miaka hiyo mingine yote alikuwa anabuy time tu...hapo wewe ndo unaanza buddy jipange upyaaa sasa...
 
Kiongozi kitu cha kwanza shukuru Mungu kwa pumzi uliyopewa.., usione umechelewa Mungu ni mwaminifu hutoa fungu kwa wakati sahihi, si vyema kutoa mifano hii ila ni uhalisia
i. wangapi wametoka mbali na wenza wao pindi muda wa kuoa ulipofika wakapoteza wenza wao?
ii. wangapi walikua na familia zao lakini ghafla zimepotea kwa sababu mbalimbali na wamejikuta wanaanza upya..

Kamwe usijilinganishe na wengine kumbuka watu wana connection, wamerithi toka kwenye kampuni za wazazi ndugu na kadhalika.. angalia wewe kama wewe unajiandaa vipi na maisha yajayo.. je watoto wako wapitie maisha kama yako? watembee na bahasha mkononi nk? andaa mazingira rafiki.. kwako na kizazi chako.. kuhusu kutoboa ni suala la muda tu weka nia kwenye kidogo ulichonacho jenga urafiki zaidi na jamii ilokuzunguka usiangalie kwenye mafanikio ya haraka sana anza mdogo mdogo ipo siku itabaki kuwa historia... kuna misemo mingi sana "life begins at 35, life begins at 45 whatever..."

Akili za kuambiwa changanya na zako, mwombe sana Mungu wako ipo siku mkuu ipo siku..
 
Komaa mpaka kielweke

Kukata tamaa mwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…