Kudate/kuoa mwanamke mwembamba (slim) unatakiwa uwe na uvumilivu wa kiwango cha SGR

Mbona wanapendezaga jamani. 😃

Sema kuna wengine wanakujaga kunenepa mpaka unaweza kuwasahau.

Nina wifi yangu alipoolewa kwetu alikuwa ni mwembamba hatari ila sasa hivi amenenepa sema tu amekuwa shapeless.
Hichi kitu kinaniogopesha sana. Huwa natamani kunenepa ila mmmh kuna muda akili inaniambia acha nitulie tu na wembamba wangu. Unene unaweza kumjia mtu vibaya mpaka ukajuta!
Heri wenye miili yao tangu zamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…