Sasa si ndo maana wanawapiga pin!! Na nyie wapigeni pin.wao kama UK wanaamini chanjo yao,wajikite kuwapa raia wake,maisha ya wengine hayawahusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si ndo maana wanawapiga pin!! Na nyie wapigeni pin.wao kama UK wanaamini chanjo yao,wajikite kuwapa raia wake,maisha ya wengine hayawahusu.
Sasa Hivi tujikite kutengeneza fedha, baadaye dawa rasmi ikipatikana tutaenda. Waache waje tupate pesa, sie tujifukize tusife ili siku za usoni waone kuwa wao walikosea.
Tatizo hata Kama Aga Khan wanatibu Ni Watanzania wangapi wanaweza kumudu gharama zao?!Kwa mawazo finyu unaweza kufikiri lockdown ni solution. Mbona haijesha huko Ulaya na Marekani? Hivi unajua kuwa wengi tumeipata na tumevuka? Siamini kupigana na zimwi lisiloonekana bali kujizatiti tu.
Najua wewe ni mpinzani ila kumbuka kwa suala hili njia tuitumiayo ndiyo njia sahihi kwa hali ya covid ilivyo. Nakuacha na rejea ya Gazeti lenu linalosema wanatibu.
A medical doctor at Aga Khan Hospital, in the city centre – who prefers not to be mentioned, without giving the exact number of those infected by Covid-19, said the number has been growing but most of them do recover after three to four days. He did not disclose the prescriptions.
Aga Khan hospital has reportedly developed a special formula for the treatment of Covid-19.
He said most of the patient comes with respiratory complications, high fever and sometimes headache, are clinically plaid and when diagnosed with Covid-19 are admitted with special supervisions – and starts treatments.
Full story Fresh Corona fears hit "Covid-free" Tanzania - Sauti Kubwa
Ndugu achana na propaganda, ugonjwa wa COVID-19 na kujigawa kwake kwa virusi vingine vya Afrika kusini, Nigeria na Brazil upo kila nchi na kila nchi itambana nao kwa uwezo walio nao.Wala sichoki kuwaelimisha
Mmesikia kuna Corona maalum imegundulika South Africa ambayo ni COVID19 lakini imebadilika na ni kali ? Inaitwa South African variant au strain? Sasa hii Corona ya Sauzi haitibiki na antibiotics etc walizotumia kupunguza makali ya Corona, pia chanjo inaonekana kutosaidia! So ni kitu kipya na inaua sana! Sasa UK wanasema Tanzania tunasambaza hiki so hawataki tuwapelekee - Nchi zilizoendelea zimelipa gharama kubwa kupata chanjo na kuwafungia raia wao wasiambukizwe - wanajiandaa kuwachanja wote warudi kwenye shughuli zao! Nyie bado mnazurura bila kujikinga mnataka kuzua balaa nyingine - hawataki masihara!
Wameanza Uingereza lakini tukiendelea kupuuza na kutochukua hatua tutafungiwa na nchi zingine pia! MATAGA waache uongo eti nchi zingine zimepigwa ban - Kenya, Rwanda, Uganda wanaruhusiwa kuingia UK bila shida! Why Tanzania na DRC? Acheni kupotosha umma!
Pili sisi wenyewe tujue Corona hii ya Sauzi ni hatari kuliko ile ya mwanzo na Afrika inaonekana kupigwa nayo ndo maana mnaona mawaziri huko Zimbabwe, South Afrika wanakwenda!
Narudia tuchukue hatua madhubuti kama Taifa dhidi ya Corona na tufanye mapema kabla hatujatengwa!
Wewe binafsi JIKINGE
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Hivi Mkuu wa nchi na wataalamu wetu wana ona shida gani kutuambia tujikinge? Kama ipo isitupate. Kama haipo hatuta kuwa tume poteza chochote.
Ni heri kinga kuliko tiba..
JPM anafikiria wazungu ni watu wa mchezo....na bado..huwezi kumdanganya mtu mwenye akili...aendelee kutoa watanzania sadaka tu.Yule balozi wao aliyeambiwa na jiwe awaonye wale wengine badala yake naye kawa mshirika wa kutufungia mlango?
Kama shere dunia kweli imetupata.
Twachezwa shere kila upande.
Kama hukwenda darasani huwezi kujua umuhumu wa data.data zinaondoa corona!!!
Kwenu kuna Nimonia tuLakini hii sirikali yetu inachekesha sana, ni kweli maambukizi ya korona sio makubwa nchini. Kuna ubaya gani wa kutoa data za hao wagonjwa?
Nchi yetu sio kisiwa ina muingiliano na mataifa mengine yaliyoathirika sana na wala ugonjwa huu sio wa aibu haujaanzia kwetu...kuna tatizo gani kusema hali yetu nchini kuhusu korona ikoje.
Yaani li sirikali lipo kimya japo hata kuendelea kuhamasisha raia wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa ambao dhahiri bado ni tishio duniani.
ulienda darasani na unatizama data kama mkombozi wa ugonjwa wa mlipuko usio na tiba!!!Kama hukwenda darasani huwezi kujua umuhumu wa data.
Kijana amenitukana, sasa ngoja nimpe kavu kabisa! Siyo kuwa "uzee" siwezi kuwa na lugha ya kuudhi..... ni kujistahi tu1Kaka mkubwa..[emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa wanafyatuka tu bila kujua ya kwamba wako na wazazi wao humuKijana amenitukana, sasa ngoja nimpe kavu kabisa! Siyo kuwa "uzee" siwezi kuwa na lugha ya kuudhi..... ni kujistahi tu1
Avoid Magufuli IndoctrinationThe super powers are dying like nsenene - grasshoppers due to Corona! How can they be champion in monitoring others!?
Basi tusipokee na mihela yaoThe super powers are dying like nsenene - grasshoppers due to Corona! How can they be champion in monitoring others!?
Baki kwenu kwani ni lazima uende kwa mabeberu?This is stupid sana.
Hii ndo sababu, hata siku moja, shangaa mapungufu ya nchi yangu, siwezi ku-support mataifa mageni kuingilia maswala ya ndani ya nchi za Africa.
Mbona kwao wanakufa wakiangahika na UK variant. Wamefanya lockdown na kila aina intervention na wameshindwa.
Ja AFRICA tumewatenga? NO!
AFRICA tumezuia watu wao? NO!
Tumewauliza maswali kuhusu sera zao za afya? NO!
Ila ndungu zetu hawaishiwi kutuwekea vizuizi
Mara wanataka lockdown
Mara wanataka Data
Kwani mkimpima mtu kuna Tatizo gani?!
Kwani hao residents wana resistance ya virus?!!
Hizi ndo siasa za mabeberu, uonevu na dhalau
Unafikiri dawa zinapatikana kwa kuokotwa barabarani watu wamefanya research nyingi kabla na huwezi kufanya research bila data.ulienda darasani na unatizama data kama mkombozi wa ugonjwa wa mlipuko usio na tiba!!!
tofauti yako na tofali la kukalia ni nini????
Sasa watakuwa hawaji maana watakuwa hawaruhusiwi kurudi Uingereza ikiwa wametokea tanzania. This is to block even litle tourists who used ti believe Tz is safeJapo sijafungua link...Ila sisi tunawapokea wazungu kwa vigezo kuwa wao ni watalii na wanachangia pato la Taifa.
Hii ni sawa mbuzi aliechinjwa kupelekwa zizini akale majani ili akamuliwe.Kirusi kimegunduliwa Afrika Kusini lakini wanaozuiwa ni Watanzania na Wakongo,,,,,,sielewi.
hazipatikani barabarani ndio,vipi zinapatikana kwenye duka gani???Unafikiri dawa zinapatikana kwa kuokotwa barabarani watu wamefanya research nyingi.