Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #121
Hayo magonjwa ni man-madeHata Sasa uwepo wa magonjwa sugu yasiyotibika kama Hiv/AIDS, Saratani na mengine ni gharika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo magonjwa ni man-madeHata Sasa uwepo wa magonjwa sugu yasiyotibika kama Hiv/AIDS, Saratani na mengine ni gharika tu
bado jibu halijitoshelezi.Labda nikukumbushe jambo
“Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Usidanganye, Waheshimu baba yako na mama yako”. ( MK 10:19)
Majibu ya Biblia hayatoshelezi?bado jibu halijitoshelezi.
swali langu linasema kuto kuwa na ndoa ni kuzini?
mkuu mbona hata mtume paulo hakuoa, je naye alikua mzinzi?Majibu ya Biblia hayatoshelezi?
Ndyomaana nimesema ni lazima uwe unajitambua ili uweze kutofautisha hivyo vitu viwili.
Kama hakuoa na akashiriki tendo anakuwa ni mzinzi.mkuu mbona hata mtume paulo hakuoa, je naye alikua mzinzi?
sawa .Kama hakuoa na akashiriki tendo anakuwa ni mzinzi.
Yeye hakukataa kwa kiburi ila lilikuwa swala la kiimani zaidi.sawa .
je kwa kutokuoa alikua hajitambui?
kwa mantiki hiyo, basi ni sahihi tukisema kukataa ndoa sio shida. ila shida ni kwanini ukatae ndoaYeye hakukataa kwa kiburi ila lilikuwa swala la kiimani zaidi.
Neno 'kukataa' tayari lina tafsiri ya kukiuka au kupingana na maelekezokwa mantiki hiyo, basi ni sahihi tukisema kukataa ndoa sio shida. ila shida ni kwanini ukatae ndoa
Habari za wakati huu wadau na wana familia wote.....
Huyo Mungu mbona hakujiumbia Mke wake aishi nae pamoja?Moja ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu ni familia, hata Mungu alipo muumba Adam aliona amekuwa mpweke na akamletea mwenza, pia mwisho akawaamuru waende wakaijaze dunia.
Hivyo basi, njama au lengo kuu la shetani ni kusambaratisha na kuvuruga nguzo ya familia, na njia mojawapo ni kuhakikisha hakuna ndoa wala malezi ya pamoja.
Ifuatayo ni mifano au mambo ambayo yanaashiria ushindi huu ambao shetani anaupata.....
Mfano 1. Kumeibuka wimbi kubwa la vijana kudai na kuhamasisha wengine kupinga na kukataa swala la ndoa, hii ni ishara ya juhudi na ushindi wa shetani katika kuharibu Muhimili wa familia.
Mfano 2. Malezi ya pamoja yamepungua, single mothers wameongezeka na watoto wengi wanapata malezi ya upande mmoja.
Mfano 3. Watoto kutumia muda mwingi mashuleni, asubuhi mpaka jioni mtoto anashinda nje ya nyumbani, malezi ya wazazi atayapata sangapi au mpaka weekend?
Mfano 4. Wimbi la mapenzi ya jinsia moja, kama watu wakishiriki aina hii ya mahusiano basi tayari hapatakuwa na familia tena kwani hakuna uwezekano wa kuzaa watoto.
Mfano 5. Wanawake kutoka nyumbani, Muhimili wa familia unategemea sana uwepo wa mwanamke, kama anatoka kutwa nzima na kuwaacha watoto, hapo tayari familia inakosa uimara wa malezi ya upande wa mama.
Mfano 6. Ongezeko la talaka au ndoa kuvunjika, tunashuhudia namba kubwa ya ndoa ambazo zinavunjika baada ya muda mfupi tu kufungwa, hii ni ishara kwamba Muhimili wa familia upo hatarini kupotea au kusambaratika kabisa.
Haya yote yamo katika kitabu ambacho kiliandikwa mnamo mwaka 1990 kabla mifano tajwa hapo juu kuenea kwa kasi kama ilivyo sasa.
View attachment 3063649
ANGALIZO : Kwa wale wote ambao wanapinga na kukataa kuwa na familia, mnapaswa kujua kwamba mnamsaidia shetani kutimiza lengo lake.
kukataa ni kutokubaliana na jambo wala sio kukiuka wala kupingaNeno 'kukataa' tayari lina tafsiri ya kukiuka au kupingana na maelekezo
Ndiyo hiyo sasa, dini zimekuwa sehemu ya kutafuta watu wa kuja kujaa kaburini unapozikwa, kwingine huko dini inabaki ya mtu mwenyewe!.Pia shetani hana kazi na watu ambao tayari amewapoteza, ana deal na hao viongozi wa dini kwani wao ndyo wabishi na wana uelewa na imani kubwa, hao ndyo anawawinda kwa nguvu zote
Lakini nashangaa kuona wengine wanasema dini ni mpango wa shetanikwingine huko dini inabaki ya mtu mwenyewe!.
Kwanza Mungu hakuleta dini, ndipo hapo unaweza kutaka kujua nani kaleta dini na kwa makusudi gani.Lakini nashangaa kuona wengine wanasema dini ni mpango wa shetani
Dini ni mfumo wa Kumtukuza na kumuabudu Mungu, Huwezi kutenganisha Dini na MunguKwanza Mungu hakuleta dini, ndipo hapo unaweza kutaka kujua nani kaleta dini na kwa makusudi gani.
Mfano, Ayubu 4:6 (inasema),
Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
Wewe umetafasiri neno 'DINI' ila hujaelewa kuhusu dini.Dini ni mfumo wa Kumtukuza na kumuabudu Mungu, Huwezi kutenganisha Dini na Mungu
Sawa kama nimetumia neno tu, Nieleweshe kuhusu dini na maana yakeWewe umetafasiri neno 'DINI' ila hujaelewa kuhusu dini.
exactly!Sawa mkuu, hapo nimeelewa, lakini tukirudi kwenye mada, ndoa ni jambo muhimu na lazima, kukataa ni kupingana na maamrisho ya MUNGU
Nadhani sababu ilikuwa kwa upande wa kiimani zaidi.Hivi kwa nini Yesu na Paulo hawakuoa ?