G
Hahaha๐คชNasemea soko Tayana, soko! Market value ya binti wa 25yrs sio sawa na ya mwanamke wa 40yrs. Ili ujue hilo, pigana chini na huyo uliyenae saivi, subiri uone kama atakayekuja tena atakujaje!!
Hold up, hold up, naomba ufafanue hapa please ๐ค binti kiziwiwanaume looks inawakataa,
Mi nina mtizamo tofauti, ntaweza ku-date na broke girl. Sababu mwanamke anaeza akawa broke ila akawa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kuliko mwanamke mwenye mshahara mzuri alieajiriwa KPMG, deloitee, bot, ggmNa ndo wanaongoza kwa kuliwa nje ...both iwe kaajiriwa au anafanya bness
Ni kuomba Mungu tu
Kwani mume na mke hawapigani chini?Hahaha๐คช
Yaani niachane na mume??
Ila soko lipo tu
We achana na mimi usinitafutie ugomvi na watu asubuhi asubuhi ๐Hold up, hold up, naomba ufafanue hapa please ๐ค binti kiziwi
Acha kubisha mambo ambayo yapo wazi. Demand ya mwanamke ambae yupo kwenye prime yake na ambaye yupo kwenye declining phase ya ubora wake ni tofauti sokoni. Kwanza huyo ambaye tayari umri ushaenda wanaume ambao wapo kwenye age bracket yake tayari washaoa.Na mi ndo nakwambia
Wote hao watafuatwa na wanaume wenye pesa ...tena vzr sn๐คฃ๐คฃinategemea tu namna ulivyojiweka ht km.upo broke..
Jmn mbona tunatunzwa vzr sn
Kila unachotaka unapewa ...mengine hatuwezi weka hadharani
Ooh. Ahsante sana kunikumbuka bro. ๐คฃ๐๐
Bro Shaddie, huwezi amini nilikuwa nimekumiss, nikasema nikikuona pahala nitakusabahi..!
usimsahau na bro binti kiziwi ๐น๐๐พ
Wrong type of women???ndio wapi hao?! Iweje wanaume wote mnafall to wrong type of women?!Kilichoharibu mentality za wanaume wengi siku hizi kwenye swala la kuprovide ni:-
Wanaume wengi wana provide for wrong type of women, ndo maana baadae jamii ikaja na misemo k.v mchumba hasomeshwi, simp, n.k
Kingine ku provide sio guarantee ya successful relationship, unamhudumia mdada, anaenda kutoa confession kwa raphee kule insta kua unamhudumia kila kitu, huna shida ya kitabia ila una sura mbaya, anajilazimisha ku sex na wewe.. anaona aibu kukutambulisha etc Rebeca 83 Makiwendo Joanah ephen_ ShesRise_1 Carleen
Sijasema wanaume wote Wana fall for wrong type of women ila wengi tunafall for wrong type of women.Wrong type of women???ndio wapi hao?! Iweje wanaume wote mnafall to wrong type of women?!
Huko insta pages ni percentage gani ya wanawake wanapita hizo page per population? Mpaka useme hili ni tatizo???...
Kwahiyo wanahutani ubooo tu?Wapo wanawake hawahitaji hata pesa sema Utajistukia mwenyewe imesha kuwa kama nature ukiwa na mwanamke kimahusiano lazma umuhudumie
Naked TRUTH bora ununue tuuIt will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.
Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
wanachojali ni upendo tu na nafsi yake inarizikaKwahiyo wanahutani ubooo tu?