Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Elections 2015 Kuelekea 2015: Kama CCM Itamsimamisha Edward Lowassa...

Hivi unajitafutia presha kuleta thread kama hii. Si ukae pembeni kama mimi!
 
I support Lowassa after Dr Slaa. This is my standing. Respect it

Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa Mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.
 
M4C ni majibu ya Mungu kwa Watanzania kuwaepusha na majanga alioshiriki kutuletea huyo shehe.Aliotutenda yanatosha.Bravo M4C songa mbele njia ni nyeupe saaaaaana.
 
Nani Mwingine? Lema?

Siku 90 zimeisha mmefanya nini licha ya kuzunguka nchi nzima mkibweka? Na EPA mmefikia wapi licha ya kufanya mazungumzo na wezi? Mtu akiwaitwa dhaifu atakuwa anakosea?
 
Hayo ya Richmond usituletee hapa, kwani mahakama za Kimataifa na za Tanzania zimeshamuwa na kumaliza kuwa Dowans walidhulumiwa na walipwe. Nini zaidi?

Mgao wako ulikuwa bilioni ngapi?
 
Huyo uliyemuweka ni

Zao Ovu la Mafisadi Barani Afrika kwa kifupi ZOMBA
 
Hivi sisi huwa tunapanga saa ngapi mambo ya maendeleo? yaani saa zote uchaguzi ukiisha tunafikiria uchaguzi mwingine? Sasa ndo nimeelewa, kwanini nchi masikini hasa Tanzania tumewekeza sana kwenye siasa kuliko kitu chochote, yaani hadi aibu, kwanza sidhani kama ndani ya CDM wapo hao tu uliowataja, we ulikuwa na topic yako nyingine tofauti kabisa na hiki ulicho kiandika, ulitaka kupandikiza chuki tu huna lolote! Kwanini useme Zitto hawezi kupewa eti kwasababu ya ukanda and then we huyo huyo useme Shibuda hawezi kugombea kwasababu anamwogopa Mamvi while wote wanatoka kanda tofauti na hiyo ya kaskazini, even Mnyika the same naye sio mwenyeji wa kaskazini, hivi hata hukumwona yule ambaye kila akitoa mabomu yake serikali na bunge lazima vitetemeke? kwani si ni report yake ndo imesababisha yule Jaji wa kesi ya Lema abadirishwe? au umesahau? pia umesahau mara baada ya kufanya Press conference na kukososa tume iliyoundwa na bwana nchimbi ilibidi ibadirishwe jina fasta kwa vile tu jembe limetoa issue za kisheria? bado hukumbuki, kwa msaada wake hata maamuzi ya bunge juu ya issue ya Katiba mpya ilibidi yabadirishwe? Inaelekea wewe huoni vizuri though sio kipofu!
 
I like lowassa.he the guy ambaye ukiwa mfuasi wake basi unajua boss anataka nn.Yeye hata kama atakula hataki wengine nao wale,sasa sio hawa wakuu wengine ambao wanakula wao,wakurugenzi wao,makatibu wao mpaka masecretary na mamessangers wanakula bila kuchukuliwa hatua.angekuwa lowassa,ye anakula lakini ole wako ule,utakiona.!nakumbuka kasheshe aliyokuwa anawapa mawaziri na wakurugenzi wakati akiwa waziri mkuu,THATS WHY AKAISHIA KUCHUKIWA.lAKINI KWANGU MM HUYU ANANIFAA.
 
zomba usihangaike sana ukapoteza nguvu zako iko hivi CDM ni chama kizuri sana cha upinzani lkn ukweli bado muda wa sisi kukipa madaraka makubwa. kimsingi nakuambia Lowassa ndiye mtu anayeweza kutawala chi hii ukilinganisha na cv za wengine wote ambao wanajiita wanasiasa mashuhuri
 
Last edited by a moderator:
kiukweli sikubaliani na mawazo yako ila nipo tayari kufa kutetea haki yako ya kutoa mawazo na maoni. hoja yako haina msingi kwa sababu unawashambulia watu sio vitu walivyosema, tuache ushabiki kuna mambo mengi ya kuafanya na kujadili kuhusu maendeleo na ustawi wea taifa ila haya ya kwako ni majungu
 
Inaniwia vigumu kila nikitazama safu ya Chadema kumpata wa kumliganisha uzito na huyu bingwa wa uzito wa juu katika medani za siasa ya Tanzania.
lowassa-important.JPG

Nashindwa kupata jibu ni mwana siasa yupi ndani ya chadema ambae atasimama haswa na kuwakinaisha Watanzania wamchaguwe badala ya Lowassa iwapo ataamuwa kugombea kiti cha Urais Tanzania?

Maana najuwa Mbowe hana hamu tena baada ya kugaragazwa vibaya sana na Jakaya Mrisho Kikwete mwaka 2005.

Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa Mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.

Nilidhani Zitto ataweza kwa kuwa ni damu changa lakini napata mashaka kuwa siasa za ukanda za chadema zitampa fursa ya kugombea, dalili zote zinaonesha chadema wa kanda ya kaskazini hawamtaki kabisa. Kwa hiyo huyu nnamtoa kwenye kinyan'ganyiro.

Shibuda hata akipitishwa kugombea akiambiwa Lowassa anagombea atakataa kuchuana nae.

Ka Mnyika, haka bado sana, hata ubungo inamshinda na sijui kama atashinda tena hata akigombea Ubunge huko. Kwishnei.

Halima Mdee, huyu hana ubavu, huyu akisikia Lowassa anagombea labda ajitafutie umaarufu tu - kwa hiyo huyu nje.

Nani mwingine?

Natamani Lowassa atangaze mapema kugombea 2015 angalau chadema waanze kujitayarisha mapema na mgombea ambae uchaguzi hautokuwa boring, maana hao wote juu Lowassa atawaonea tu.

CCM inatisha.
Kama wafuasi wenyewe wa Lowassa ndo Nyie, huyu jamaa bado ana wakati Mgumu Kisiasa
 
Mkuu wacha kubabaika na huyo fisadi, kama amekutuma kampigia debe basi ameisha shindwa kabla mbio hazijaanza!!! Kama CCM watamweka huyo kama mgombea basi kazi ya CHADEMA itakuwa nyepesi saana, pole ndugu yangu huyo hauziki!!!

Slaa nae choka mbaya, hana jipya zaidi ya majungu na siasa zisizo na mpango, hata ujumbe kwa Mwema ni ushahidi tosha kuwa kaishiwa kisiasa.
Mkuu Zomba shituka umejificha mvua kwenye mwembe ikizidi utalowa, ikija radi ikapiga utaumia!!! Kimbia ndugu yangu jiunge na winning team, your backing the wrong tree!!! EL alisha jiiishia zake kwenye siasa za TZ!!!

Back
Top Bottom