Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AJIRA za kupambania.Vyeo vya teuzi au hizihizi ajira za kupambania tamisemi
Basi hiyo ndio sababu. Lakini hata huko pia Ni suala la muda tu.Mimi siko kwenye halmashauri yoyote na ofisi yetu haifungamani na halmashauri .
Naripoti kwa chief executive naye anaripoti kwa waziri
20% ni kubwa Sana imagine mtu anaepata 1235000 atapata 247000/= kwa hiyo 20% unadhani ni rahisi kiasi hicho?Nauhakika lazima kiwe na ongezeko sio chini ya 20%. Otherwise wazalendo na wavuja jasho wa nchi hii hawataweza kuvumilia mateseo haya ya muda mrefu.
Vijipesa Kidogo Mama Anavyo Atatupa WanaweIkitokea hivyo watanzania watamlilia mrungu tena kama walivyomlilia mwaka jana.
Subiri royo tua iishe tutajua mbivu na mbichiKwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi.
Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi.
ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)
Siku chache zilizo pita mzee mmoja bungeni ametamka kuwa serikali ipo ktk mazungumzo na vyama vya wafanyakazi na ipo bize kukamilisha miradi kwani nazo ni huduma za msingi ambazo kila mtu anazihitaji na kwamba mazungumzo yakikamilika wataangalia cha kufanya.(swali hapa ni je nyongeza au stahiki za wafanyakazi ni mpaka watu wakae mezani?)
matarajio ya walio wengi.
watumishi walio wengi ni matarajio yao raisi atatimiza alicho ahidi kama sivyo basi watakuwa wamerudishwa kwenye machungu ya the late Joh P. Ya miaka zaidi ya mi 5 ya "ujenzi wa taifa" bila watumishi kukumbukwa
Yapi maoni yako?
Royo tua mkuu imebambaMambo ya royo tua😁😁😁
Wee!! Nyingi sana hyoNauhakika lazima kiwe na ongezeko sio chini ya 20%. Otherwise wazalendo na wavuja jasho wa nchi hii hawataweza kuvumilia mateseo haya ya muda mrefu.
20% ni kubwa Sana imagine mtu anaepata 1235000 atapata 247000/= kwa hiyo 20% unadhani ni rahisi kiasi hicho?
Kila mbuzi atakula kulingana na huruma ya mchungaji.Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi.