Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

Hata wakiongeza chochote hakisaidii.

Vyama vya wafanyakazi vimekaa Kama FISI anasubiri Mnofu, Makato ya yapo kwa asilimia.

Maana yake Mshahara ukiongezwa na wao wanaongeza MAKATO.

Kwahiyo unarudi pale pale, SQUARE ZERO.

Mimi hata Rais asipo ongeza chochote halafu akafuta huu WIZI wa Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi, nitaona amefanya kazi kubwa sana ya kuopongezwa.
Well said hapo kwenye vyama vya wafanyakazi ni wizi tu mtupu na hawana tija kwa mfakanyakazi
 
shida kubwa ya watumishi sio mshahara bali wanapswa wakopeshwe na Mabeki kwa riba nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Kama wanavyo kopeshwa wabunge zaidi ya Milioni 100 kwa miaka 5, Mikopo yenye riba nafuu na kiwango kikubwa cha fedha kitawasaidia sana watumishi kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha kuliko kupandishiwa mishahara.
 
Washtaki. Wasikufanyie upuuzi hakuna kitu kama hicho cha kujiunga automatically bila consent yako. Maana kuna mikataba ya kusaini sasa automatically kasaini nani?
Unajua sheria, au unabisha tu kama bush lawyer ilimradi sauti isikike?

IMG_20220417_191913.jpg
 
shida kubwa ya watumishi sio mshahara bali wanapswa wakopeshwe na Mabeki kwa riba nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Kama wanavyo kopeshwa wabunge zaidi ya Milioni 100 kwa miaka 5, Mikopo yenye riba nafuu na kiwango kikubwa cha fedha kitawasaidia sana watumishi kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha kuliko kupandishiwa mishahara.
Nafikiri wazo lako litafanyiwa kazi siku za usoni
 
Habali wana jamvi
Vipi mnaonaje chief Hangaya anaweza kuwapa wanachokitaka watumishi wa umma mei mosi 2022 au ndio tutaambiwa vita ya Ukrain na Russia imeathiri uchumi je mnamtazamo gani wafanyakazi wa umma wenzangu
Naomba kuwasilisha sory kwa uandishi mbaya hopefully nimeeleweka na wakuu wa humu
 
Ngoja waje tutapata majibu
 
Zimebaki siku 4. Vuta subira
 
Kwa jinsi hali ya uchumi wa Dunia ilivyo kwa sasa itakuwa vigumu sana kutekeleza ahadi ya kuongeza mishahara. Kwa vyovyote vile ahadi hii itasogezwa mbele hadi hapo hali ya uchumi wa Taifa letu na Dunia kwa ujumla itakapotengamaa.
 
Back
Top Bottom