Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

Kuelekea Mei Mosi 2022. Yanayotarajiwa, yatakayojiri. Je, Rais Samia atatimiza alichoahidi mwaka 2021?

20% ni kubwa Sana imagine mtu anaepata 1235000 atapata 247000/= kwa hiyo 20% unadhani ni rahisi kiasi hicho?

Inawezekana mfumko wa Bei ya bidhaa ni 37%
20% ni kubwa Sana imagine mtu anaepata 1235000 atapata 247000/= kwa hiyo 20% unadhani ni rahisi kiasi hicho?

Inawezekana mfumko wa Bei ya bidhaa ni37%,hivyo mishahara lazima iongezwe."kila kitu kitapanda" Ikiwemo mishahara.😂😂😂😂
 
Kwa watumishi wa Umma. Na wengine wasio kuwa watumishi.

Zimebaki siku 11 kufika tarehe 1/52021 siku ambayo huitwa ya wafanyakazi.

ikumbukwe mwaka jana raisi alitoa kauli na hapa ninanukuu " niwahakikishie watumishi wenzangu mwaka ujao tarehe kama ya leo nitakuja na "pekeji" (kwa lafudhi yake)

Siku chache zilizo pita mzee mmoja bungeni ametamka kuwa serikali ipo ktk mazungumzo na vyama vya wafanyakazi na ipo bize kukamilisha miradi kwani nazo ni huduma za msingi ambazo kila mtu anazihitaji na kwamba mazungumzo yakikamilika wataangalia cha kufanya.(swali hapa ni je nyongeza au stahiki za wafanyakazi ni mpaka watu wakae mezani?)

Matarajio ya walio wengi.
Watumishi walio wengi ni matarajio yao raisi atatimiza alicho ahidi kama sivyo basi watakuwa wamerudishwa kwenye machungu ya the late JPM miaka zaidi ya mi 5 ya "ujenzi wa taifa" bila watumishi kukumbukwa.

Yapi maoni yako?

ratiba ya may mos
Huyo mzee unaesema alitamka hayo maneno syo ya leo ni mwaka 2019.
Fuatilia mambo ndo uje huku na kitu cha maana
 
Back
Top Bottom