Nazi Ignition
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 1,740
- 4,859
Usipojiunga unaunganishwa automatically.Mbona makato ya vyama vya wafanyakazi sio lazima mtumishi? Wanakatwa wale waliojiunga tu na hivyo vyama. Usipojiunga hukatwi.
🤣🤣🤣La busisi ndo zuri mkuu
Washtaki. Wasikufanyie upuuzi hakuna kitu kama hicho cha kujiunga automatically bila consent yako. Maana kuna mikataba ya kusaini sasa automatically kasaini nani?U
Usipojiunga unaunganishwa automatically.
Mtumishi, maana yake ni mtumwa,mtu wa kutumwatumwa tu,kutumikia bwana wake n.kMimi ni mtumishi huu ni mwaka wa 7 siko kwenye chama chochote na sikatwi chochote.
Ukiwashtaki mkurugenzi anakupiga chini ukaendelee na kesi.Washtaki. Wasikufanyie upuuzi hakuna kitu kama hicho cha kujiunga automatically bila consent yako. Maana kuna mikataba ya kusaini sasa automatically kasaini nani?
Hivi ni bure kabisa?Kama hujapanda Daraja kapande la Tanzanite
Anatufanyizia kaziVijipesa Kidogo Mama Anavyo Atatupa Wanawe
Well said hapo kwenye vyama vya wafanyakazi ni wizi tu mtupu na hawana tija kwa mfakanyakaziHata wakiongeza chochote hakisaidii.
Vyama vya wafanyakazi vimekaa Kama FISI anasubiri Mnofu, Makato ya yapo kwa asilimia.
Maana yake Mshahara ukiongezwa na wao wanaongeza MAKATO.
Kwahiyo unarudi pale pale, SQUARE ZERO.
Mimi hata Rais asipo ongeza chochote halafu akafuta huu WIZI wa Makato ya Lazima ya Vyama vya wafanyakazi, nitaona amefanya kazi kubwa sana ya kuopongezwa.
Una bahati sanaMimi ni mtumishi huu ni mwaka wa 7 siko kwenye chama chochote na sikatwi chochote.
Basi ni deal lao hao. Hivyo vyama havina faida yoyote kwa mfanyakazi zaidi ya kujikusanyia pesa na kuzitafuna. hivi CAG anavikagua?Ukiwashtaki mkurugenzi anakupiga chini ukaendelee na kesi.
Unajua sheria, au unabisha tu kama bush lawyer ilimradi sauti isikike?Washtaki. Wasikufanyie upuuzi hakuna kitu kama hicho cha kujiunga automatically bila consent yako. Maana kuna mikataba ya kusaini sasa automatically kasaini nani?
Nafikiri wazo lako litafanyiwa kazi siku za usonishida kubwa ya watumishi sio mshahara bali wanapswa wakopeshwe na Mabeki kwa riba nafuu ili waweze kujikwamua kiuchumi.
Kama wanavyo kopeshwa wabunge zaidi ya Milioni 100 kwa miaka 5, Mikopo yenye riba nafuu na kiwango kikubwa cha fedha kitawasaidia sana watumishi kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha kuliko kupandishiwa mishahara.
Ngoja waje tutapata majibuHabali wana jamvi
Vipi mnaonaje chief Hangaya anaweza kuwapa wanachokitaka watumishi wa umma mei mosi 2022 au ndio tutaambiwa vita ya Ukrain na Russia imeathiri uchumi je mnamtazamo gani wafanyakazi wa umma wenzangu
Naomba kuwasilisha sory kwa uandishi mbaya hopefully nimeeleweka na wakuu wa humu
muhimu sana mkuu miaka saba sasa tunatembelea chokiNgoja wake tutapata majibu
Zimebaki siku 4. Vuta subiraHabali wana jamvi
Vipi mnaonaje chief Hangaya anaweza kuwapa wanachokitaka watumishi wa umma mei mosi 2022 au ndio tutaambiwa vita ya Ukrain na Russia imeathiri uchumi je mnamtazamo gani wafanyakazi wa umma wenzangu
Naomba kuwasilisha sory kwa uandishi mbaya hopefully nimeeleweka na wakuu wa humu
duu mwana unawakatisha tamaa raiaKwa jinsi hali ya uchumi wa Dunia ilivyo kwa sasa itakuwa vigumu sana kutekeleza ahadi ya kuongeza mishahara. Kwa vyovyote vile ahadi hii itasogezwa mbele hadi hapo hali ya uchumi wa Taifa letu na Dunia kwa ujumla itakapotengamaa.