Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Weka majina yao hapa acha porojo.
Uenyekiti wenyewe mnataka kutoana naona mnazuga na taarifa za uzushi
Kiufupi tu ni kuwa ccm wamechanganyikiwa vya kutosha
 
Mheshimiwa waziri huyo mbunge mnakubaliana kumpa cheo gani??
 
Duh! Hii lugha imekuwa ngumu kwangu.
mm huwa naotaota, ndio maana lugha zangu hazueleweki ila tuijenge nchi wote kama watz. tukikopa deni ni letu kama watz. ukija uchaguzi ndio ccm,cuf nk. deni la taifa tunalipa wote na huu mkopo wa reli ni wa watz. sio ukawa wala ccm
 
Wakati ccm wakitalajia kuwapokea hao 18 tarehe 23/7 ....tarehe 25 upinzani utapokea vigogo kutoka ccm 180 ...hii inaitwa kampa , kampa tena ...
Hahaaa ndoto za alinacha. Kuhamia upinzani wafuate nini. Hakuna kitu kama hicho. Poleni VVU
 
Huu ni uongo una uzushi! Tetesi halafu uthibitisha mmana ake nini? Hivi unafikiri JJ Mnyika hata kama kuna mambo hayafurahii Chadema unafikiri anapelekwa na bongo za CCM?
Ccm unaweza kuwaita jina jepesi tu kuwa WAMEFULIA KISIASA
 
mm huwa naotaota, ndio maana lugha zangu hazueleweki ila tuijenge nchi wote kama watz. tukikopa deni ni letu kama watz. ukija uchaguzi ndio ccm,cuf nk. deni la taifa tunalipa wote na huu mkopo wa reli ni wa watz. sio ukawa wala ccm
Hakika. Na maendeleo yakiletwa na CCM tunaenjoy wote. Ona lile daraja ya Mwalimu Nyerere pale Kigamboni. Ona barabara za mabasi ya Mwendokasi. Imeanzia Kimara Uchagani hadi Ferry. Hakuna kubagua.
 
Ccm unaweza kuwaita jina jepesi tu kuwa WAMEFULIA KISIASA
Duh! Aisee mipasho yako nimeipenda sana. Yaani chama kinaongoza Dola bado unasema kimefulia kisiasa! Na Mzee Lowasa utamuitaje?
 
Hapa ndo ningeamini upinzani bongo ni unafiki
Kwani kwa mawazo yako cdm inaundwa na mtu mmoja tu au hao 18? Cdm ni ya mamilioni huyo mnyika akitoka bado maisha ndani ya chama chetu yatasonga
 
Aiseeeeeea, hii sasa kali. Tafsdhali Mwenyekiti wangu Magufuli. Utatuulia upinzani. Unafikiri wataishije ikiwa SACCOS zao zitapungua mapato?
 
Ndoto kwako kwa kuwa wewe ndio mwanachama unayeomba kurudi ccm jukwaani umesharudi zito unamwacha mwenyewe baada ya kudai demokrasia
Huyo jamaa MOTOCHINI amethibitisha pasipo shaka kuwa ni chumia tumbo tu kamuwacha kabwe pekee yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…