Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28: Ujio wa Dkt. Magufuli mikoa ya Kaskazini wawa gumzo!

Watu wa Kaskazini hawapangiwi ...wanajipangia na siku wakiamua kuipigia kura CCM wataipigia ....USIWALAZIMISHE ..huwa wanaamua wenyewe kwa namna yao wenyewe
 
Elitwege angalia live sasa hivi Tundu Lissu Urambo kuna Nyomi ya kutisha haijawahi kutokea kwenye Mji mdogo kama Urambo

Toroka uje Chadema
Usipate shida hiyo nyomi ya vijana wadogo tuione siku ya kupiga kura tafadhali .Hao hawana tabia ya kupiga kura hata vitambulisho vya kura wengi hawana.Tukutane kituo Cha kupiga kura na hizo nyomi zako feki.za 2015 tafadhali narudia tuzione vituo vya kupiga kura

Tunashukuru mumeweza kuwaibia wazungu walete pesa kwa picha za kuchakachua ili ziongeze msunguko was pesa Tanzania

Tinachoomba na siku hiyo ya kupiga kura muwarushie hao mliwaibia pesa wazungu nyomi za watu wakiwa mistari ya kupiga kura Happ Urambo tafadhali

Amsterdam during the voting day ask them to bring pictures of voters in that area if it will match with the fake pictures that are sending to you and your fellow thieves who steal money from donors in Europe and US to finance political thieves you collaborate in Africa who pretend as political candidates
 
Alisikika mlevi mmoja kutoka ccm. Kipigo mtakachopokea mwaka huu mtajuta kuifahamu chadema.
 
Pigeni chini Chadema, mtapata maendeleo
Itakua ngumu kupiga chini. Nyumbani kwa mwenyekiti wenu chato chadema inachukua jimbo saa 4 asubuhi wewe unazungumzia arusha unaakili wewe?
 
Magufuli si alisema bungeni kaskazini wasubiri kwanza kuhusu maendeleo kwamba ni zamu ya sehemu zingine. Sasa muda umefika akatafute kura alikopeleka maendeleo.
 
Naona unajitetea na maneno mengi we tulia subiri kichapo hii maneno mengi haisaidii mzee.
 
Naona unajitetea na maneno mengi we tulia subiri kichapo hii maneno mengi haisaidii mzee.
Tarehe 28 October watu Wana hasira na Chadema watakachowafanyia hawataamini

Kilimanjaro safari hii itakuwa Kati ya mikoa itakayowapa kura nyingi CCM
 
Aje tutampokea na hela zao tutakula ila kura tutampa Lissu just like 2015 alivyoambulia kura 0. Kaskazini sio wajinga wajinga
 
Alisikika mlevi mmoja kutoka ccm. Kipigo mtakachopokea mwaka huu mtajuta kuifahamu chadema.
Hakuna kitu Chadema mnaonyesha clip mlizoongea bungeni badala ya kuwaonyesha maendeleo mliyofanya Kilimanjaro .Mlitumwa na wapiga kura mkajirekodi selfie ya mliyoongea bungeni au muwaletee maendeleo?

Waliwapigia kura kuwa katuleteeni CD? Au DVD za Selfie zenu mlizojipiga na kujirekodi bungeni? Ndicho walichowatuma wapiga kura?
 
Chadema tumebanwa sana mwaka huu.
 
Chemi
Chemical ali wa sadam Hussein
 
Moshi ina wenyewe Acha porojo

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kama anajiamini aende Kaskazini bila wasanii ndio tuone kama watajitokeza watu zaidi ya 300
Huu upumbavu sijui mnautoa wapi?
Inawauma sana kuona wasanii wako CCM!
Rais Magufuri anajiamini 100%, kazi aliyoifanya kwa mikoa ya kaskazini ni kubwa sana..hata wananchi wa mikoa hiyo wanalitambua hilo.

Endeleeeni kuwabeza wasaniii kuna maisha baada ya uchaguzi.


#JPM 5 tenaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…