Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Daima mbele nyuma kuna mwiko
 
Mtani Salaam.
Mtani Ile Jezi yenu ya njano Nimeipenda Bure Naipataje?
Mie sijambo namshukuru Allah uzima upo Mtani.

Hahaaa. Mie ninayo Mtani tuwasiliane tu. [emoji12] [emoji12].

Niambie Mtani jumapili ndio hiyoooo. Mapigo yako ya moyo yapoje mpaka sasa?
 
Pitia mlango wa nyuma, Vunja nazi, Usiingie ktk vyumba wakati mapumziko tena usisahau kuingia kinyume nyume ikibidi hata uruke ukuta.
 
Nasikia usiku huu uongozi na shabiki wa Mikia SC watakuwa pale Makaburini Kinondoni kuchawia mechi ya kesho wapate ushindi
 
Hapiti mtu hapa mimi ndiye ninayeongoza VPL
 
Bwihi [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…