Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Haijalishi Simba yupo kwenye Ubora kiasi gani sababu kiukweli game za Simba na Yanga huwa ni za kipekee.

Simba nyie chongeni, jinadini ila mjue tarehe 29 ndio itakayoongea. Yanga sio wa kupapaswa kirahisi hivyo tena na Simba lol.

Niseme tu msije na matokeo yenu Uwanjani sababu hamkawii kutung'olea Viti.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Daima mbele nyuma kuna mwiko
 
Mtani Salaam.
Mtani Ile Jezi yenu ya njano Nimeipenda Bure Naipataje?
Mie sijambo namshukuru Allah uzima upo Mtani.

Hahaaa. Mie ninayo Mtani tuwasiliane tu. [emoji12] [emoji12].

Niambie Mtani jumapili ndio hiyoooo. Mapigo yako ya moyo yapoje mpaka sasa?
 
Pitia mlango wa nyuma, Vunja nazi, Usiingie ktk vyumba wakati mapumziko tena usisahau kuingia kinyume nyume ikibidi hata uruke ukuta.
 
Nasikia usiku huu uongozi na shabiki wa Mikia SC watakuwa pale Makaburini Kinondoni kuchawia mechi ya kesho wapate ushindi
 
Hapiti mtu hapa mimi ndiye ninayeongoza VPL
IMG_20180428_205022_095.jpg
 
Back
Top Bottom