chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Wa kusamehe bure,hajui anachokiongelea huyo 'mkia wa taa'Kanishangaza mno huyo. Au huenda comment yake ni mwaka jana. Kataja akina Ngoma, Tambwe na Manji [emoji16] [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kusamehe bure,hajui anachokiongelea huyo 'mkia wa taa'Kanishangaza mno huyo. Au huenda comment yake ni mwaka jana. Kataja akina Ngoma, Tambwe na Manji [emoji16] [emoji16]
Mtani Salaam.Hahaaa. Mtasema hivyo sababu ya kikosi chenu ila nikwambie Mtani tusubiri tuone muda utaongea.
Daima mbele nyuma kuna mwikoHaijalishi Simba yupo kwenye Ubora kiasi gani sababu kiukweli game za Simba na Yanga huwa ni za kipekee.
Simba nyie chongeni, jinadini ila mjue tarehe 29 ndio itakayoongea. Yanga sio wa kupapaswa kirahisi hivyo tena na Simba lol.
Niseme tu msije na matokeo yenu Uwanjani sababu hamkawii kutung'olea Viti.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Mie sijambo namshukuru Allah uzima upo Mtani.Mtani Salaam.
Mtani Ile Jezi yenu ya njano Nimeipenda Bure Naipataje?
Hahaaaa. Kabisa yaani.Daima mbele nyuma kuna mwiko
Hahaaaa. Mtani usije nikimbia tu.Tunahesabu muda. Kabla ya Mnyama Mkali kuliko wote mwituni.. Apapasee, ushindi ni jadi yetu
Hahaaaaa. Sawa Mtani tusubiri muda ndio unayoyoma hivyo.Kesho huenda tukatangaza rasmi ubingwa maana tumezoea ushindi aisee. kinyume cha hapo tutaendelea kuwa nafasi ya ubingwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usilinganishe Simba na vitu vya hovyo.
Gentermycine kawatisha sana humu.mashabik Wa Yanga wapole sana au matokeo wanayo wanajua tu watapapaswa