Uchaguzi 2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

Hahaha yule anaye PURICH, mwambieni wananchi hatuko reachable!
 
Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Hao ma 'propesa' tatizo lao njaa.
 
Wapo waliokosoa ila hakutaka kusikia akikosolewa
 
Wazee wanafki sana hawa.na wana wivu...kipind wako madarakan walifanya nn cha maana

Wanafiki ni wale wanaowapa sifa zisizo wastahili. Na sijui Watanzania watabadilika lini. Huyu anatembelea nyota ya Nyerere wenye akili wanalijua hilo. Na ishukuriwe familia ni kama inawapotezea kitu flani kuwa heshimu tu.

Akawawaaminishe wajinga kuwa Rais hatakiwi aagopwe. Huyu alikuwa hamuogopi Nyerere, huyu? Uongoze watu 60M khalafu usiogopwe na utegemee mambo yaende vizuri.
 
Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Unaweza ukawa profesa na bado ukawa mjinga, angalia lipumba, kabudi nk[/QUOTE]
 
Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Una juwa manaa ya ujinga mbona watu wana PhD ila bado ni wa shamba na wajinga
 
Salute Mkuu...
 
Kumbeeeee uwoga husababishwa na ujinga.
Unaweza ukaona kisiki ukasema ni mchawi,asante mzee Butiku
BIBLIA
(Ufunuo wa Yohana 21 : 8)

8 Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Laana na baraka ya mtu yeyeto imo ndani ya ulimi wake, ulimi ndio utoa hatma ya maisha ya binadamu yeyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…