Aache unafiki anajua Mzee Kasela na Kassanga Tumbo walivyo dhalilika na kufa maskini kwa sababu ya kutokuwa waoga, na hata Raia wengine enzi hizo land line zinasikilizwa na Mumiani.Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.