Aache unafiki anajua Mzee Kasela na Kassanga Tumbo walivyo dhalilika na kufa maskini kwa sababu ya kutokuwa waoga, na hata Raia wengine enzi hizo land line zinasikilizwa na Mumiani.Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Niliwahi kuwaza hichi kitu lakini pia nikasema ngoja nikae niangalie baada ya 28 October nini kitatokeaMwenge ndio ulikuwa unawafanya watz kuwa wajinga na waoga, this time sababu haupo we uoni akili za watz zilivofunguka.
Kwani lisu aliwahi kuwa mwoga?Watz sio waoga ni kwamba walikosa mtu jasiri makini Lisu, thus ccm imekuwa ikiwaburuza. Sasa wapo tayari, Lisu amewekewa damu ya Kenya ameoondolewa damu ya uoga, kupitia damu yake ukombozi umefika.
Mateso tena Basi,
Ajawahi toka primary schoolKwani lisu aliwahi kuwa mwoga?
Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Why utuambie damu ya Kenya imemuondoa uwogaAjawahi toka primary school
Ahsante Mzee Butiku !Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Mungu wabariki wazeeInaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Thus ccm awataki uraia pacha sababu wanawaogopa diaspora watawafungua watz akili wale moshi wa mwenge uwapitia kushotoNiliwahi kuwaza hichi kitu lakini pia nikasema ngoja nikae niangalie baada ya 28 October nini kitatokea
Mzee Butiki nae maslai yake yameguswa ndiyo maana analialia Sasa!! Apambane na hali yake!!Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Damu ya Kenya imemuongezea ujasiri, kumpiga risasi wamemuongezea mwendo.Why utuambie damu ya Kenya imemuondoa uwoga
Lile jembe na limezidi kuwa imara
Wazee wamesoma upepo awako tayari kwenda the HagueMzee ana uhakika wa pension hivyo hana cha kupoteza.
Ukiona hivyo ujuwe Magu kamkatia Umeme,maana hao Wazee wengi ndiyo wamejimilikisha Mali zetu! Magu kaza ili wote watoke mafichoni!!Wazee wanafiki sana hawa.na wana wivu...kipind wako madarakan walifanya nini cha maana.
Maprofesor wengi wana ujinga unaosababishwa na njaa.Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Hivi ni kweli mzee kama warioba na kijana wa makamo kama Pascal Mayalla Uoga wao umetokana na ujinga? Hivi habari Dr ulimboka nani anazitaka tena! Tahadharini Enyi vijana msijazwe mihemkoInaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu.
Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
Walizoea kula wamekosa. Wanasema sanaaaaNaona kwa sasa wameanza kuyatafuta nje ya CCM!