Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Laiti mngejua mamlaka zimefanya haya Kwa ajili ya usalama wa taifa letu mngefunga midomo yenu michafu ya kulalama.
Tatizo watanzania wengi ni wajinga wanadhani nchi inalindwa kwa silaha tuu, ht USA waliituhumu facebook kwa kupanga matokeo.
 
Wanangu kura za ndio za kutosha kwa Lissu.
 
H n mbinu ya kulinda nchi, ht USA waliituhumu facebook kwa kupanga matokeo ya urais hvy kuweni wapole na hakuna haja ya kuangaika na hy VPN
 



Ahead of tomorrow's election in #Tanzania, we're seeing some blocking and throttling of Twitter. #TanzaniaDecides2020

Internet shutdowns are hugely harmful, and violate basic human rights and the principles of the #OpenInternet
 
Huku kwa device yangu playstore inasomeka "something went wrong"

Kiukweli ccm wameiharibu sana maana Uchumi utaanguka sana kwa mitandao kuzimwa

Hivi ni nani aliyewaroga hawa mataga
Mi huwa natumia Uber na litlide kwenye mishe zangu nyingi lakini kuanzia jana mpaka Leo nimekwama... YouTube Mara ya mwisho kuingia nijana usiku nikiangalia vituko vya Simba dhidi ya Ruvu.. lakini leo Holaa...Nimekwazika sana
 
Acha ujinga, suala la kufunga mitandao ipo dunia mzima kwa lengo la kulinda nchi. Ht U.S.A baada ya matokeo walimtuhumu facebook kwa kupanga matokeo.
Sasa nchi inatakiwa ilindwe dhidi ya kiongozi huyu mwendawazimu na muuaji! Acheni ujinga kujifanya hamuoni kuwa anawazimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…