Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Tatizo watanzania wengi ni wajinga wanadhani nchi inalindwa kwa silaha tuu, ht USA waliituhumu facebook kwa kupanga matokeo.Laiti mngejua mamlaka zimefanya haya Kwa ajili ya usalama wa taifa letu mngefunga midomo yenu michafu ya kulalama.